Nitakuroga.
Hata yeye ameniambia nikwambie hivyo hivyo🤣Sina haraka shee.. Mwambie mdogo wako akisusa...!?😋View attachment 3579787
🤣🤣🤣🤣 pole sana mkuu.Mtu unamuamini vizuri tuu, mnakutana, mnaendeleza urafiki, badae anakuuza humu JF. 😁
🤣🤣🤣🤣 pole sana mkuu.
Sina haraka shee.. Mwambie mdogo wako akisusa...!?😋View attachment 3579787
🤣🤣🤣🤣🤣🤨😩🥺 natania shee
Nipe mikoba basi, nina kazi nayo.
Mkuu nina stock 😀mimi ni tajiriView attachment 3579793
Ebu washangaze mataifa kesho uje na marafiki zako wale number E nijichagulieDogo kwahiyo mimi ni wa mchongo!! Nimelia sana😭😭😭
Mme Lucas? Dah bora kunyongwa 😂😂😂😂Ila kama ni mume umepata.. Maana ukiwa na biashara ya machozi chimbo unalo😂
Unaniombea niweje?😆Nitakua sikuombei unajua