Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,028
- 84,409
Mkuu kwanini handaki lakini🤣 huamini kama njia nyembamba zipo sio, kwanini nikaianike pm sasa😆Na mjomba Melo alivo katili humu hamna View once! Handaki lako linakua linaning'inia kwenye PM ya mtu.
Mkuu kwanini handaki lakini🤣 huamini kama njia nyembamba zipo sio, kwanini nikaianike pm sasa😆Na mjomba Melo alivo katili humu hamna View once! Handaki lako linakua linaning'inia kwenye PM ya mtu.
Sasa si linahama kisirisiri halianikwi humu ndani🥲
Risk iko wap ukitambulikaKuna members wengi sana humu, wamebadiri ID's kutokana na kuanikwa, au kukamiwa, kutukanwa sana na kusakamwa. JF ili uwe salama, lazima uweze ku maintain hali ya kutotambulika, ikitokea vinginevyo basi faragha yako, inaingiliwa, ndio maana ni mwiko "name calling" hapa JF.
Tunaweza kuwa tunahusiana au kufahamiana nje ya JF, lakini ukiniita kwa jina langu humu ni kosa, nikilalamika kwa mods, unaweza pewa ban, labda kama nimeamua kuwa verified. Hii yoye ni kulinda image na faragha ya watumiaji. Kama umeamua kutambulika humu, do it at your own risk.
Watu wanapenda hayo mambo kuliko hata kula, chagueni kwa makini watu mnaojihusisha nao, kuna wengine wana mental issues, their love love language is shaming othersKuna members wengi sana humu, wamebadiri ID's kutokana na kuanikwa, au kukamiwa, kutukanwa sana na kusakamwa. JF ili uwe salama, lazima uweze ku maintain hali ya kutotambulika, ikitokea vinginevyo basi faragha yako, inaingiliwa, ndio maana ni mwiko "name calling" hapa JF.
Hmm umetoa onyo kali sana hapa mkuu😆 hii naielewa hii..Tunaweza kuwa tunahusiana au kufahamiana nje ya JF, lakini ukiniita kwa jina langu humu ni kosa, nikilalamika kwa mods, unaweza pewa ban, labda kama nimeamua kuwa verified. Hii yoye ni kulinda image na faragha ya watumiaji. Kama umeamua kutambulika humu, do it at your own risk.
Kama halina vionjo haliwezi kufika, kuna mafile mazito tunayo lakini hayajawahi kufikishwa humu!Kuna namna inaweza tokea likaanikwa humu jamvini. 😁
Utakua na kiwanda cha siriHivi mimi nna Siri za wangapi? 😹😹😹
Nimejibu iko hivi ;Swali zuri mkuu, akijibu ShesRise_1 nitag. 😁
Nimejibu iko hivi ;
Mnaweza kujifotoa mkiwa wote
Au mmoja akapiga akamtumia mwenzie
Mimi sijawahi ila kwa huyu wa saiviMtume roho yangu mie!
Huu ujasiri mnapata wapi?
Mko movies, 2in1😁
Hujakosea 😹😹😹Utakua na kiwanda cha siri
Kwamba hujawahi kutumiwa na ma mtu?🫢Mtume roho yangu mie!
Huu ujasiri mnapata wapi?
Sawa mkuu!Bahati mbaya? Sinaga bahati mbaya.. makusudi tu!
Na umbea wote na bado una kifua koongole kwako sisi watu waongeaji sana hua tuna siri mnooo 💯Hujakosea 😹😹😹
Halafu hata nikigoma wasiniletee wananipliz wanipe mapdf..
Halafu huwezi amini pamoja na hekaheka zangu zote sijawahi kuwatolea siri zao. Nimefunga kufuli na funguo nimetupa..!!
Na si unajua wambea tunapewa zile convo hot za watu pm na mipicha picha exclusive 🤣😹😹