Msiri wako ni nani JF?

Msiri wako ni nani JF?

Hupepesi macho sio! Subiri wakukaange hiyo siku sikutetei😂
Mimi nikajua wa jf wako mars, basi tuangalie wa madhabahuni😅

Unaremba dagaa wakati mawashio🤣
wanikaange wakati natumia rasilimali zangu? mi najua ninacho kifanya hata sibabaiki😆😆😆

wacha nizirembe maana zikikosekana nitakula ugali na chumvi mpka nikome😅😅
 
Si umeambiwa ulikua na zilipendwa wako Demis
6b82b0f5-ef6b-43ad-9cf9-a9b7e0fb63ab.jpeg
 
Umenichekesha, mwenyewe ninajua kama hushei umbile lako na mtu why watu waumie kiasi hiki? as long as hakuna k ilopotea huko! Sasa hivi kila mtu humu malaya kasoro wao🤣


Mimi nikipata muda wala sipepesi jicho! Hujanizaa nikuwazie we kama nani yani? Ukiletea shobo nakupa unachostahili..
Wanaumia hadi kwa nini amepata kazi bank. wanaohoji na kuumia kwa nini anafanya kazi bank.
Unaeza kuona jinsi depal alivyo na raha sababu haters wake ni watu wenye akili ndogo sana
 
Zitatolewa ndio😆
Ila haitafanya mwenye kuzitoa apone sukari yake U T I aliyonayo

Kwa sababu atazidiwa na maradhi ya husuda baada ya kunianika na ndio kwanzaa napeta😆
Ila itaniuma kiduchu😢
Hahhaha basi jitahidi kutuma view once kama mimi, mambo ni mengi sana, kina deputy Jesus wakikufikia uwe na glucose pembeni ulambe😅
 
Wanaumia hadi kwa nini amepata kazi bank. wanaohoji na kuumia kwa nini anafanya kazi bank.
Unaeza kuona jinsi depal alivyo na raha sababu haters wake ni watu wenye akili ndogo sana
Naye ana mtihani mkubwa jamani, ana kikundi hakilali kinamfuatilia mienendo yake sio poa! Bado watasema hana kazi anakuja kuwinda jf, sijui hawajawahi kuwaona wanaowahisi ni matajiri jf wakaacha ujinga! 🤣
 
Back
Top Bottom