ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,264
- 40,900
Hiii hapa nimeichukua🤝Halafu mimi sina rafiki wala adui wa kudumu, utashangaa siku nakuwa upande wa adui yangu namkingia kifua nikiona anaonewa..!! 😹😹😹
Hiii hapa nimeichukua🤝Halafu mimi sina rafiki wala adui wa kudumu, utashangaa siku nakuwa upande wa adui yangu namkingia kifua nikiona anaonewa..!! 😹😹😹
Tunatumiana zangi huko🤣Kwani hua mnatumiana wapi? Mi najua ni PM au kuna features zingine humu mm sijui?
Umenichekesha jamani🤣 mimi sijaona hilo handaki lakini itakuwa amegawa sana tope dada mrembo😅Kuangalia hizi video zinazovuja zimeanza kunifanya niwaze labda uumbaji umebadilika.
Huyu akili mingi sana, kuwa naye makini sana!😅Mfano wewe, mazoea yatabaki kwa mbali sana, ni silent observer na nyie ni watu hatari sana 😂
Takataka mbwaa🤣 usitoke piga shots zako za tequilla urudi, nakuletea limao na chumvi😁Takataka kabisa 🚮🚮🚮 mtaniondolea upako J2 hii, ngoja nitoke humu
Wenzio wanaomba sasa! Unakwama wapi mkuu🤣Kubembelezana kupo sana, ambacho siwezi mimi ni kuomba picha ya nanii.
Hiyo nakiri mimi mshamba. 😁
Ngoja niwape somo ili wote wajifunze.Picha za naked tusitume sawa😁
Ila za kawaida saafi
Kwanini sasa tu si selfike jamani🥱
Anyway umeeleweka ma mtu
Wenzio wanaomba sasa! Unakwama wapi mkuu🤣
Kazi kweli kweliNgoja niwape somo ili wote wajifunze.
Watu wanaposelfika pale wanaacha ushahidi bila kujua. Siku ukijimix ukatuma naked pic piem au nje ya JF tutaunganisha dot na huna pa kutokea..!!
Hivi unajua kwann mtu akiletewa pics zake anashindwa kukataa km sio yeye? Shida inaanzia kwenye kuselfika.
Selfika kama unajua hautakuja kudanganyika na wakora wa JF.
Ishi nayoHiii hapa nimeichukua🤝
Generation ya hovyo nyie vijana miaka yetu hakukua na vitu kama vile, imagine tulikua tunatoa mahari mpaka unakamilisha....unasepa na mwali ukifika home unakuta kitu kipya mpaka unapeleka mbuzi kwa wazazi wakeUmenichekesha jamani🤣 mimi sijaona hilo handaki lakini itakuwa amegawa sana tope dada mrembo😅
Tunzeni mafaili yenu before umasikini+nyege havijacombine kwa insecured bitches😆hakuna siri ya wawili bwana,, alf ili iitwe siri ni ile umeishuhudia kwa macho yako kutoka kwa muhusika ilihali yeye alikua anaficha,, mimi siwezi kukusimulia jambo langu mwenyew alf tuiite siri wakati najua binadam hawana kaba
alf mbona vitu vyote vinavyo vujishwa jf nivya kawaida sana jamani😄😄 mambo ya kifamilia au mahusiano sijui flani kamla au kaliwa na flani guys hiyo nayo mnaita siri? acheni ufwala wa kujidai mna mafile ya watu wakati hao watu ndo wameruhusu muwe na hayo mafaili ebo😅,, wew ukileta hizi habari humu huo unakua umbea usiseme umevujisha siri
Mimi nimesema huko juu hakuna kitu mtu atasema kuhusu mimi nikapata shock hata nyapu ikianikwa livehakuna siri ya wawili bwana,, alf ili iitwe siri ni ile umeishuhudia kwa macho yako kutoka kwa muhusika ilihali yeye alikua anaficha,, mimi siwezi kukusimulia jambo langu mwenyew alf tuiite siri wakati najua binadam hawana kaba
alf mbona vitu vyote vinavyo vujishwa jf nivya kawaida sana jamani😄😄 mambo ya kifamilia au mahusiano sijui flani kamla au kaliwa na flani guys hiyo nayo mnaita siri? acheni ufwala wa kujidai mna mafile ya watu wakati hao watu ndo wameruhusu muwe na hayo mafaili ebo😅,, wew ukileta hizi habari humu huo unakua umbea usiseme umevujisha siri
Trust me hii gen zero hutopeleka hata mwewe🤣 mijanamke mingine ndio hii kama mijambazi kondakta sio kondakta, mchawi anawajua wachawi wenzie, tabia chafuuu😅Generation ya hovyo nyie vijana miaka yetu hakukua na vitu kama vile, imagine tulikua tunatoa mahari mpaka unakamilisha....unasepa na mwali ukifika home unakuta kitu kipya mpaka unapeleka mbuzi kwa wazazi wake
Kama La depal linavyosonga sasa hivi🤣Mimi nimesema huko juu hakuna kitu mtu atasema kuhusu mimi nikapata shock hata nyapu ikianikwa live
Mtaongea siku mbili siku ya tatu life litasonga
Ni kweli malaya hawana cha kupoteza aisee..!! Ni sehemu ya maisha yake 😹😹😹Kazi kweli kweli
Sema wengine hawana vya kupoteza hata
Huwa wananiuzi mimi🤣Nimesema kila mtu ni mshamba eneo flani,mimi ni mshamba kwenye neno hilo, kwa mfano kuna mtu huwezi mpigisha deki, piga ua garagaza. 😁
😁😁😁😁Trust me hii gen zero hutopeleka hata mwewe🤣 mijanamke mingine ndio hii kama mijambazi kondakta sio kondakta, mchawi anawajua wachawi wenzie, tabia chafuuu😅
Na still ana dundaKama La depal linavyosonga sasa hivi🤣
mafile yangu nayatunza vizuri mnoooo ila ukiona umepata moja wapo ujue hiyo sio siri na hata nikisikia habari zake hazito niumizaTunzeni mafaili yenu before umasikini+nyege havijacombine kwa insecured bitches😆