Mtu kama wewe ukipewa nchi lazima wakristu wote wakimbie,maana chuki ulizonazo kwa wakristu zinatisha sana!Lakini lazima uelewe kwamba wakristu walikuwepo,wapo na wataendelea kuwepo daima na milele!
Adolf hitler alifanya mauaji makubwa ya wayaudi huku akiwa na fikra za kukifutiliambali kizazi cha wayaudi lakini alishindwa na mbaka leo wayaudi wapo na wananguvu ya ajabu!
Mahmud ahmad Nejad alipochaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa rais wa Iran aliitangazia dunia kuwa ataifuta Israel kwenye ramani ya Dunia,lakini mbaka leo amechindwa na amebaki kubweka kama mbwa koko!
Wewe, shehe Ponda Issa Ponda,Mukadam Swalehe,Shehe Ilunga,Shehe Mselemi,Shehe Ilunga na waislamu wote wenye chuki na ukristu kamwe hamtaweza kufikia malengo yenu yenye hila dhidi ya ukristu!
CC:
Freshthinking,
Ally Kombo,
fazaa