Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

Ni msomi wa zamani na Rais wa kwanza wa Tanzania, hakuna anaepinga hilo, nawe usipinge kuwa yeye ndiye aliifanya hii nchi kuwa maskini wa mwisho duniani, alikuwa dikteta, na ndiye chanzo cha udini Tanzania kwa kulitumikia Kanisa Katoliki zaidi ya wananchi wake ambao wengi wao si wakatoliki na ndio sababu mpaka alipostaafu Mwitongo akihudumiwa na ma sista wa kanisani kama ma hausigeli wake na ndio katuzwa uwenye heri akingojea muujiza wa kumfanya mtakatifu.
fastjet amesaidia nchii hii kitoka kwenye umaskini na mzee ruksa alisaidia kututoa kwenye udikteta haya furahi sasa nmesifia viongozi wako!!!!!!
Tatizo lenu mkiulizwa mlitaka Mwl afanye nini katika nchi hii na wasomi wachache, alitumia kilimo kusomesha bure watu mpaka vyuo vikuu, tumewazoea kulalamika ndio jadi yenu
 
Unaijuwa bure wewe, alikuwa anatowa pesa mfukoni mwake? Katika watu waliosomeshwa unahesabu Tanzania wamesomeshwa? Uganda na Kenya waseme nini?
 
waoooo! mi namkubali kwa kujenga taifa hili bovu na hapa tulipo, kuwafanya wengine wooote wapuuzi, yy ndo ana akili! na bado tunaendelea kumtukuza!!! katukosesha mbele na nyuma! taifa halina dira wala lengo, kukosa akili na kukmbatia kusifia maneno! sijui anakubalika kwa lipi! huko edinburg hata mashoga ni waheshimiwa! sidhani kama amebandikwa huko ndo kisa cha kumkubali kwetu! ni bora tukawa na jina la nchi jingine ndani ya mipaka hii, labda fikra zitabadilika!!!!
 
Nyerere atabaki kuwa mtu maarufu hapa tanzania.kuna mengi mazuri ametuachia lakini kuna mengi mabaya ametuachia ambayo yanaendelea kututafuna
na huo ndio ubinaadamu wenyewe,lakini alishasema tatizo sisi tunaacha mazuri tunafanya yale mabaya badala ya kuyaacha na hata kuyarekebisha.
 
Ukizungumza habari za Mwalimu Nyerere kwa Watz walio wengi yeye huongelewa mema tu japo ana mabaya yake kwani shilingi ina pande mbili. Hali hiyo inatokana pia kwa mitazamo kama ni hasi au chanya. mabaya ya Nyerere yanazidiwa na mazuri yake. Sasa tujitahidi kuona mambo yanarekebishwa, ndiyo maana yeye alipoona mambo yanamzidia na shinikizo la IMF kutii masharti aliona ni vema ang'atuke na kutoa nafasi kwa viongozi wengine. Nyerere anakumbukwa kwa jinsi alivyowaunganisha watanzania wakaelewana kwa lugha moja ya kiswahili na kupunguza ukabila. Hivi mnajua majirani zetu kama Zambia, Msumbiji na Malawi lugha zipo kimajimbo? Rais akienda sehemu fulani ya nchi anakwenda na mkalimani je hilo pekee siyo jambo kubwa la kumfanya Nyerere akaenziwa? Wewe umeifanyia nini Tanzania au familia yako. Jihoji kabla hujanyoosha kidole chako kwa wengine.
 
kinachohojiwa na hawa jamaa si utendaji wake mbaya ama mzuri, kinachowatesa watu hawa ni ukristo wake na chuki dhidi ya ukristo.
Ukizungumza habari
za Mwalimu Nyerere kwa Watz walio wengi yeye huongelewa mema tu japo ana
mabaya yake kwani shilingi ina pande mbili. Hali hiyo inatokana pia kwa
mitazamo kama ni hasi au chanya. mabaya ya Nyerere yanazidiwa na mazuri
yake. Sasa tujitahidi kuona mambo yanarekebishwa, ndiyo maana yeye
alipoona mambo yanamzidia na shinikizo la IMF kutii masharti aliona ni
vema ang'atuke na kutoa nafasi kwa viongozi wengine. Nyerere anakumbukwa
kwa jinsi alivyowaunganisha watanzania wakaelewana kwa lugha moja ya
kiswahili na kupunguza ukabila. Hivi mnajua majirani zetu kama Zambia,
Msumbiji na Malawi lugha zipo kimajimbo? Rais akienda sehemu fulani ya
nchi anakwenda na mkalimani je hilo pekee siyo jambo kubwa la kumfanya
Nyerere akaenziwa? Wewe umeifanyia nini Tanzania au familia yako. Jihoji
kabla hujanyoosha kidole chako kwa wengine.
 
ukizungumza habari za mwalimu nyerere kwa watz walio wengi yeye huongelewa mema tu japo ana mabaya yake kwani shilingi ina pande mbili. Hali hiyo inatokana pia kwa mitazamo kama ni hasi au chanya. Mabaya ya nyerere yanazidiwa na mazuri yake. Sasa tujitahidi kuona mambo yanarekebishwa, ndiyo maana yeye alipoona mambo yanamzidia na shinikizo la imf kutii masharti aliona ni vema ang'atuke na kutoa nafasi kwa viongozi wengine. Nyerere anakumbukwa kwa jinsi alivyowaunganisha watanzania wakaelewana kwa lugha moja ya kiswahili na kupunguza ukabila. Hivi mnajua majirani zetu kama zambia, msumbiji na malawi lugha zipo kimajimbo? Rais akienda sehemu fulani ya nchi anakwenda na mkalimani je hilo pekee siyo jambo kubwa la kumfanya nyerere akaenziwa? Wewe umeifanyia nini tanzania au familia yako. Jihoji kabla hujanyoosha kidole chako kwa wengine.

tatizo mnaacha mema mnajadili ya kijinga-jk nyerere
 
Huko ndio aliko somea ugaidi wa kuwagawa watanganyika kimisingi ya udini.
 
Nimefuatilia sana mijadala mbali mbali ya kumkosoa Mwl J.K. Nyerere hapa jamvini na kwenye hizi redio majinuun, nimejifunza mambo makubwa mawili.
  • Mosi ukipima hoja za wajumbe husika katika mijadala hiyo upeo wao wa kujadili mambo ni mwepesi sana kulinganisha na uwezo pia maono aliyokuwa nao baba wa Taifa. (zaidi ni kutaka kujipa sifa kwamba nao wanauwezo wa kumchambua Nyerere).
  • Pili kuna jitihada za makusudi za kutaka kuipotosha au kuipeteza historia ya Tanzania (na hili sijui linafanyika kwa faida ya nani) ili mwisho wa siku Watanzania tuwe ni watu watu tusio na mbele wa nyuma.
 
Ni msomi wa zamani na Rais wa kwanza wa Tanzania, hakuna anaepinga hilo, nawe usipinge kuwa yeye ndiye aliifanya hii nchi kuwa maskini wa mwisho duniani, alikuwa dikteta, na ndiye chanzo cha udini Tanzania kwa kulitumikia Kanisa Katoliki zaidi ya wananchi wake ambao wengi wao si wakatoliki na ndio sababu mpaka alipostaafu Mwitongo akihudumiwa na ma sista wa kanisani kama ma hausigeli wake na ndio katuzwa uwenye heri akingojea muujiza wa kumfanya mtakatifu.

Kawaambie haya uliyoyaandika hapa wale walioweka hilo bango halafu utuambie watakachokuambia. It is as simple as that!
 
Umaarufu unaweza kuwa wa kuchemka kama alivyochemka, miaka 25 ya uongozi nchi uwa maskini ndo uzalendo huo? of course atakumbukwa kwa hilo -ndo historia imekwisha toka hiyo. Tutamkumbuka tu kwa ubaya wake wa kujenga matabaka katika jamii kwa mfumo wa udini wake, ila alikuwa mjanja wa kujificha nyuma ya pazia kwa karama ya ulimi aliyojaaliwa
 
Kawaambie haya uliyoyaandika hapa wale walioweka hilo bango halafu utuambie watakachokuambia. It is as simple as that!

kuweka bango ni kitendo tu si umaarufu hata kidogo. Alikaribishwa na wakatoliki wenzake ili kumuenzi kwa kazi kubwa aliyoifanya hapa TZ ya kuimarisha kanisa katoloki kwa kutumia nguvu za watanazania wote -tangu lini kiongozi wa serikali kahudumiwa na sisita wa kanisa na kuitwa mwenye heri kama si kwa jinsi alivyolitumikia kanisa akiwa madarakani? Alikuwa MPUUZI, MIE BINAFSI SIMPENDI HATA KUMSIKIA TENA
 
Nimefuatilia sana mijadala mbali mbali ya kumkosoa Mwl J.K. Nyerere hapa jamvini na kwenye hizi redio majinuun, nimejifunza mambo makubwa mawili.
  • Mosi ukipima hoja za wajumbe husika katika mijadala hiyo upeo wao wa kujadili mambo ni mwepesi sana kulinganisha na uwezo pia maono aliyokuwa nao baba wa Taifa. (zaidi ni kutaka kujipa sifa kwamba nao wanauwezo wa kumchambua Nyerere).
  • Pili kuna jitihada za makusudi za kutaka kuipotosha au kuipeteza historia ya Tanzania (na hili sijui linafanyika kwa faida ya nani) ili mwisho wa siku Watanzania tuwe ni watu watu tusio na mbele wa nyuma.

Wewe unasemaje kuhusu hitoria ya nchi-ilipotosha au la? Nyerere alikaribishwa kwenye siasa na wazee wa Dsm -je wamewahi kutajwa kwenye historia? Haikupotoshwa hapo kwa maslahi ya kumlinda huyo nyerere? Kila kitu kafanya yeye kutafuta uhuru, hii inaingia akilini kwako? Zinduka kuondokana na fikra mgando kuwa nyerere ni kila kitu Tz. Hata kama asingekuwapo TZ ingekuwapo na tungepata uhuru mapema zaidi-rejea kuomba uhuru uhairishwe tz (ombi la Nyerere UN).
Lengo lake lilikuwa nini? Kuimarisha kanisa katoliki.
Radio Iman na nyengine zinazochambua ubaya wa nyerere zinawaelemisha wa TZ kuhusu hujuma za kihistoria zilizofanywa kupotosha historia ya nchi na mkakati wa nyerere dhidi ya waislam waliopigania uhuru wa nchi hii na kisha kuwekwa pembeni kwa mwavuli wa udini. Hafai kabisa kusimuliwa kwa wema hata kidogo
 
kuweka bango ni kitendo tu si umaarufu hata kidogo. Alikaribishwa na wakatoliki wenzake ili kumuenzi kwa kazi kubwa aliyoifanya hapa TZ ya kuimarisha kanisa katoloki kwa kutumia nguvu za watanazania wote -tangu lini kiongozi wa serikali kahudumiwa na sisita wa kanisa na kuitwa mwenye heri kama si kwa jinsi alivyolitumikia kanisa akiwa madarakani? Alikuwa MPUUZI, MIE BINAFSI SIMPENDI HATA KUMSIKIA TENA

Umpende usimpende, umsikie usimsikie tena HAIBADILISHI CHOCHOTE. Hao unaotaka kuwasikia wasikie tu, ujifurahishe nafsi yako. JK Nyerere atabaki kuwa JK Nyerere na sifa zake. The world paid attention to him, who are you?
 
Hivi dini hii mbona inangangania sana habari ya udini tz au mnataka kupata thawabu kwa kumwaga damu? Hpa hakuna cha jihadi hapa mwendo ni huu huu hata kama mnapewa mafundisho ya uchochezi ukijiona unaonewa jinyonge uepukane na unyonyaji
 
shujaa kwako!mtu aliyetawala kwa miaka 25,akashindwa kvambua mahitaji muhimu ya raia wake,kwa kipindi chote hicho hakuweza kujenga japo chumba kimoja tu cha darasa! Hata km moja tu ya barabara ya tope achilia mbali lami.aliyetaka tulingane na wanyama kwa kutembea uchi.sinta msahau!

hata ukimkumbuka huna effect kwake ur nothing to him iko wazi hawezi kupendwa na wote wako wanaomtukana mungu sembuse nyerere sishangai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom