Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

FACT - tumefika hapa tulipo sababu ya madudu ya nyerere, baada ya miaka 20 alipoona nchi imemshinda akaamua kumuachia mwinyi

nyerere.jpg
 
Wasiomkubali mwalimu Nyerere wana chuki binafsi ila kwa upande wa uongozi na fikra pevu na zenye kuona mbali,hajawahi tokea kiongozi safi Tanzania kama Nyerere.

Niliipenda CCM kwa sababu ya Nyerere ila baada ya yeye kustaafu niliomba chama kife moja kwa moja maana kila aliyekuja alikuja na agenda zake potofu mpaka leo tumefikishwa hapa bila mafanikio yeyote, tumebaki yunajuya kila kukicha.
 
haya ndugu. but najua ukweli unaujua ila hapa unalazimisha tu.
 
FACT - tumefika hapa tulipo sababu ya madudu ya nyerere, baada ya miaka 20 alipoona nchi imemshinda akaamua kumuachia mwinyi
Halafu MWINYI alipoachiwa akafanya nini...au naye akaendeleza madudu????
 
Halafu MWINYI alipoachiwa akafanya nini...au naye akaendeleza madudu????

leo hii unaangalia TV , nakutumia internet , na kula ugali "unga mweupe", unapata sukari bila foleni , hakuna siku ya kununua sabuni . sababu ya mzee ruksa..

utakuwa si mwingi wa shukran kama hutoona jinsi mwinyi alivyotutoa kwenye hali mbaya
 
Blah blah!!!!is mahabusu a safe place? Mbona mnapanga kuandamana mkamtoe?
Muslims(jk) against muslims(nyinyi)

kwa hiyo in ur little mind unavyoona kuna vita btw muslim "JK" vs muslims ... ha!ha!ha!

news flash ! give it up mate hakuna kitu kama hiyo ...
 
Halafu MWINYI alipoachiwa akafanya nini...au naye akaendeleza madudu????

Yule mzee ni kichwa cha mwenda wazimu, ndiyo maana Nyerere alimwambia kuwa anaongoza nchi kwa kushauriwa na mkewe.

Nashangaa watu wanamsifia pia wanamsifu hata yule prof. aliye mshahuri kuingiza mitumba kwa wingi nchini, kwa namna hii walitegemea viwanda vya nguo viwe salama?

Pia huyu mzee kichwa cha mwenda wazimu, alishiriki katika uharamia wa kutorosha wanyama hai kwenda uarabuni, wakatengeneza zoo.
 
Shujaa kwako!mtu aliyetawala kwa miaka 25,akashindwa kvambua mahitaji MUHIMU ya raia wake,kwa kipindi chote hicho hakuweza KUJENGA JAPO CHUMBA KIMOJA TU CHA DARASA! HATA KM MOJA TU YA BARABARA YA TOPE ACHILIA MBALI LAMI.ALIYETAKA TULINGANE NA WANYAMA KWA KUTEMBEA UCHI.SINTA MSAHAU!
alitumia shule alizozkuta kuwasomesha akina Sitta/Rioba/Ulimwengu na wengine, hawa mashujaa wako c ndio waliojenga madarasa mengi ya kufugia kuku na kufaulisha watoto wasiojua kuandika majina yao?.
 
Yule mzee ni kichwa cha mwenda wazimu, ndiyo maana Nyerere alimwambia kuwa anaongoza nchi kwa kushauriwa na mkewe.

Nashangaa watu wanamsifia pia wanamsifu hata yule prof. aliye mshahuri kuingiza mitumba kwa wingi nchini, kwa namna hii walitegemea viwanda vya nguo viwe salama?

Pia huyu mzee kichwa cha mwenda wazimu, alishiriki katika uharamia wa kutorosha wanyama hai kwenda uarabuni, wakatengeneza zoo.

Nyerere aliongoza kutokea kwa Papa Vatikani, ndo maana wana mchakatua kuwa mtakatifu wa roma !
 
leo hii unaangalia TV , nakutumia internet , na kula ugali "unga mweupe", unapata sukari bila foleni , hakuna siku ya kununua sabuni . sababu ya mzee ruksa..

utakuwa si mwingi wa shukran kama hutoona jinsi mwinyi alivyotutoa kwenye hali mbaya

Kaka ina maana hapa ndio akili imefika mwisho kufikiri?
No wonder madrasa graduate!!
 
Ulitaka atunzwe na mashehe? Au maustadha?
afu mwambie uyo wanaemuita zomba kwamba mwalim aliwahi kukiri kwamba kuna mengi mabaya kayafanya na mengine mazuri kayafanya, kwahyo alitambua mapema kama yeye ni mwanadamu pia, sultani alivyokuja alijenga shule ipi na ipi?, c ni wao waliokataa kwenda shule kwa kuhofia(ujinga) kwamba watabatizwa?, waislamu wangapi waliosoma misheni na kubatizwa?, c mlizngatia elemu akhera-nendeni mkafanye kazi kuzimu sasa, sawa aliifanya nchi kua maskini lakini alithubutu kuuza eneo la nchi kwa wamarekani?, alikua na akaunti uswizi?, watoto zake walimiliki maroli(traillers)?, mke wake aliimport vnywaji vya kopo tena bila kulipa kodi?, alikua na shamba mvomero la ekari 300?, atuambie basi nani bora kati yake (mwalimu) na hawa jamaa wa sku izi (washkaji), kuna hata mmoja anayeweza kumfikia? .ALIYECHOKA KUFIKIRI HUAMINI ANAJUA SANA.
 
Kaka ina maana hapa ndio akili imefika mwisho kufikiri?
No wonder madrasa graduate!!

says Sunday school graduate i wonder what they FED you out there, mkate wa bwana ama .. lol , ... bcz ur trying hard to be a biggest troll humu JF
 
CCM na wezi ndyo hawamkubali... Mwalimu amefariki huku akililia watanzania. Alijua kitakachotokea baada ya yeye kuondoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom