Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

aina ya watu kama wewe huwa pia wanashida ya kufikiri na kuchanganua mambo kwa kina.

Nini ambacho unataka kufafanuliwa kwa kina katika hayo niliyoyaandika? Your wish is my command.
 
Umaskin, ujinga, udini na upuuz mwingne wa aina hiyo, uliaccwa na huyo nabii wenu MCHONGA, mnaomfagilia nadhan akili zenu zimemwagikiw na mafuta ya taa!
 
sasa sijui mkuu zomba ukweli kwako ni upi uliokuwa unaumaanisha
 
Mkuu najua kinachokusukuma kumsema Mwalimu..ni imani yako wala si kingine....maana watu wa imani yako ndio wanaongoza kwa kumsonga Mwalimu...
Lkn wenye akili tunajua hizo ndizo tabia zenu za asilikabisa katka imani yenu kugeuza geuza mambo..tunaowajua hamtusumbui...naweza weza hata kukupa andiko kutoka katika imani yako inayosapoti tabia zenu hizi za kufundishana hata kupigana bila kufikiri!!
Any way ..Nyerere kitu gani bwana, watu wanampinga Yesu kristo walimpinga akiwa hai dai leo wana mpinga na kupotosha mafundisho yake!! Watu wanampinga Mtume Mohamed SAW... walimpinga alipokuwa hai hadi leo wanampinga....!
Lakini mwisho wa siku kweli itasimama na itauweka huru, nuru itashinda giza!!

Makavu laivu!
 
Ni msomi wa zamani na Rais wa kwanza wa Tanzania, hakuna anaepinga hilo, nawe usipinge kuwa yeye ndiye aliifanya hii nchi kuwa maskini wa mwisho duniani, alikuwa dikteta, na ndiye chanzo cha udini Tanzania kwa kulitumikia Kanisa Katoliki zaidi ya wananchi wake ambao wengi wao si wakatoliki na ndio sababu mpaka alipostaafu Mwitongo akihudumiwa na ma sista wa kanisani kama ma hausigeli wake na ndio katuzwa uwenye heri akingojea muujiza wa kumfanya mtakatifu.
Akili ya nguchiro!
 
Shujaa kwako!mtu aliyetawala kwa miaka 25,akashindwa kvambua mahitaji MUHIMU ya raia wake,kwa kipindi chote hicho hakuweza KUJENGA JAPO CHUMBA KIMOJA TU CHA DARASA! HATA KM MOJA TU YA BARABARA YA TOPE ACHILIA MBALI LAMI.ALIYETAKA TULINGANE NA WANYAMA KWA KUTEMBEA UCHI.SINTA MSAHAU!
Siamini kweli haya uliyoandika yanatoka kichwani mwako ama sehemu nyingine!mh!!
 
Umaskin, ujinga, udini na upuuz mwingne wa aina hiyo, uliaccwa na huyo nabii wenu MCHONGA, mnaomfagilia nadhan akili zenu zimemwagikiw na mafuta ya taa!

Chuki za nin?sometime try to have fair play,wewe ungekabidhiwa nchi kwa uhalisia wa miaka ile ungefanya nin?wajua nchi ilikuwa na wasomi wangapi?nakupa homework, go find the difference btn Territory and Colony, then find out why Tanganyika iliitwa Territory na Kenya ikaitwa Kenya Colony!Nyerere alikuwa na Nationalism nzuri,sio mchoyo na Mwizi!una scandal yeyote ya yeye kuiibia hii nchi?je viongoz wenzake wa enzi zile walifanya nin?Udini wake waweza uthibitisha pasi shaka?au mmelalia vitabu I can say vyenye plain accusation?achen chuki binafsi,the guy was smart and he loved his people and her country!
 
Kwani kuweka jiwe la msingi ni kukubalika? Au ni just siasa? Wewe unamkubali kwa lipi?
 
Ni msomi wa zamani na Rais wa kwanza wa Tanzania, hakuna anaepinga hilo, nawe usipinge kuwa yeye ndiye aliifanya hii nchi kuwa maskini wa mwisho duniani, alikuwa dikteta, na ndiye chanzo cha udini Tanzania kwa kulitumikia Kanisa Katoliki zaidi ya wananchi wake ambao wengi wao si wakatoliki na ndio sababu mpaka alipostaafu Mwitongo akihudumiwa na ma sista wa kanisani kama ma hausigeli wake na ndio katuzwa uwenye heri akingojea muujiza wa kumfanya mtakatifu.

Ulitaka atunzwe na mashehe? Au maustadha?
 
Hakika Zomba una chuki sawa na al-qaeda. Nyerere alikua ni mcha mungu na ni moja ya sababu yeye kupenda haki. Mcha mungu wa kweli kwa dini yoyote hana chuki kama wewe. Zomba wewe ni victim wa propaganda za kina ponda. Utabaki wa kukosa tu kwa saabu unaona problem zako katika 'wrong perspective'. Unasema Nyerere alilitumikia kanisa katoliki kwani yeye alikua padri? wacha mzaha wee!!!
 
Hakuna lolote la maana alilofanya ktk nch hii huyo nabii wenu mchonga, zaid kututia kwenye majanga tu, muungano ucyo na tija na ZNZ, ambao umepelekea Watanganyika kuupoteza utaifa we2 pia kutuingiza kwenye vita Uganda, kutokana na chuk yake na I.Amin
 
Lets pray for him not discussing him somepeople will say matusi on him
 
Ni msomi wa zamani na Rais wa kwanza wa Tanzania, hakuna anaepinga hilo, nawe usipinge kuwa yeye ndiye aliifanya hii nchi kuwa maskini wa mwisho duniani, alikuwa dikteta, na ndiye chanzo cha udini Tanzania kwa kulitumikia Kanisa Katoliki zaidi ya wananchi wake ambao wengi wao si wakatoliki na ndio sababu mpaka alipostaafu Mwitongo akihudumiwa na ma sista wa kanisani kama ma hausigeli wake na ndio katuzwa uwenye heri akingojea muujiza wa kumfanya mtakatifu.

Ulitaka awasomeshe Waislam kwa nguvu? Kama alilipendelea Kanisa Katoliki mbona Lutherans, Anglicans, Pentekests .... wamesoma? I think you have very big problems in your upper faculties. Wewe unathamnin Madrasa tu.Mwl. Nyerere ameng'atuka uongozi 1985,> Mbona bado mmeng'ang'ani madrasa.

Kwa nini unapenda sana kutukana na kushambulia Wakatoliki na Ukatoliki? Uislam wako ni tatizo kwako. Kanisa limejenga juu ya mwamba ambao shetani na wafuasi wake hawawezi kuliangusha.

Tafadhali soma the Satanic verses ili ujue umesimama wapi.]
 
Soma vizuri post yangu kuna neno kusoma au kusomeshwa? Mbona unajishukushuku?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom