Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
Wasiomkubali mwalimu Nyerere wana chuki binafsi ila kwa upande wa uongozi na fikra pevu na zenye kuona mbali,hajawahi tokea kiongozi safi Tanzania kama Nyerere.
Ni msomi wa zamani na Rais wa kwanza wa Tanzania, hakuna anaepinga hilo, nawe usipinge kuwa yeye ndiye aliifanya hii nchi kuwa maskini wa mwisho duniani, alikuwa dikteta, na ndiye chanzo cha udini Tanzania kwa kulitumikia Kanisa Katoliki zaidi ya wananchi wake ambao wengi wao si wakatoliki na ndio sababu mpaka alipostaafu Mwitongo akihudumiwa na ma sista wa kanisani kama ma hausigeli wake na ndio katuzwa uwenye heri akingojea muujiza wa kumfanya mtakatifu.
... Wasio mkubali ni wale wasiyokuwa na akili timamu, nani mapunguani.
Muda si mrefu watajitoke hapa kuanza kutoa maneno ya kejeli.
Na wengi wao hawajui historia ya nchi yetu ya Tanzania.
Nyerere atabaki kuwa shujaa wa taifa hili.

Nadhani watu ambao ni myopic hawawezi kumpenda Mwalimu Nyerere kwa vile hazina ya mambo mengi ya kiakili aliyoacha imejificha kwenye vitabu. Ni bahati mbaya kuwa nchi yetu haina utaratibu mzuri wa kujisomea kutokana na mfumo mbovu wa elimu. Rejea jinsi bunge linavyokorogana kuhusiana na elimu yetu ilivyozikwa na wachoyo wachache tena wenye PhD.

Wazee wa Ghahawa na kashata ndo hawamkubali...