Mama Maria Nyerere na Mama Mariam Obote.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,430
Reaction score
46,160
Pichani ni Mama Miriam Obote (90), mke wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Uganda, Hayati Apollo Milton Obote na Mama Maria Nyerere (95), mke wa Rais wa Tanganyika, Mwalimu Nyerere. Aliyekosekana hayo ni Mama Ngina (93), mke wa Rais wa Kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta. Mama Ngina anaelezwa kuwa yuko buheri wa afya. Picha hii ni kwa hisani ya Odhiambo Levin Opiyo
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
 
Attachments

  • 1784641917977.jpg
    1784641917977.jpg
    110.3 KB · Views: 13

Kwa haraka nikajua tanzia

All in all , waishi sana Hawa bibi zetuu
 
Pichani ni Mama Miriam Obote (90), mke wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Uganda, Hayati Apollo Milton Obote na Mama Maria Nyerere (95), mke wa Rais wa Tanganyika, Mwalimu Nyerere. Aliyekosekana hayo ni Mama Ngina (93), mke wa Rais wa Kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta. Mama Ngina anaelezwa kuwa yuko buheri wa afya. Picha hii ni kwa hisani ya Odhiambo Levin Opiyo
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Wanaume mnajifanya wajanja Sana, mtakufa sana
 
Back
Top Bottom