Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

Nyerere jembe ulitaka awe muislamu mbona ww muislam hatukusemi toa hoja ukatoliki wa nyerere na uislamu wako hautuhusu kama vip jilipue bas kama unahasira ili ulipwe thawabu mafundisho mengine bana embu jamani fikirieni ukijiua utalipwa kweli
 
nyerere.jpg
Mwinyi akafanya nini kuleta maendeleo? Acheni upuuzi, kama sio Nyerere wewe ungeishia madrasa kukaririshwa mistari ya kiarabu. Umeondolewa tongotongo sasa unajifanya unajua. Hebu sema, Mwinyi kafanya lipi, fastjet Mtalii.
 
wewe unasemaje kuhusu hitoria ya nchi-ilipotosha au la? Nyerere alikaribishwa kwenye siasa na wazee wa dsm -je wamewahi kutajwa kwenye historia? Haikupotoshwa hapo kwa maslahi ya kumlinda huyo nyerere? Kila kitu kafanya yeye kutafuta uhuru, hii inaingia akilini kwako? Zinduka kuondokana na fikra mgando kuwa nyerere ni kila kitu tz. Hata kama asingekuwapo tz ingekuwapo na tungepata uhuru mapema zaidi-rejea kuomba uhuru uhairishwe tz (ombi la nyerere un).
Lengo lake lilikuwa nini? Kuimarisha kanisa katoliki.
Radio iman na nyengine zinazochambua ubaya wa nyerere zinawaelemisha wa tz kuhusu hujuma za kihistoria zilizofanywa kupotosha historia ya nchi na mkakati wa nyerere dhidi ya waislam waliopigania uhuru wa nchi hii na kisha kuwekwa pembeni kwa mwavuli wa udini. Hafai kabisa kusimuliwa kwa wema hata kidogo
hiyo redio mnaiita imani au imamu maana nawaona wendawazimu tuu huwezi kusimama ukasaiti ni sawa sawa na gazeti la udaku redio inayochochea maasi wewe utadhani vipindi vya taarabu
 
wewe unasemaje kuhusu hitoria ya nchi-ilipotosha au la? Nyerere alikaribishwa kwenye siasa na wazee wa dsm -je wamewahi kutajwa kwenye historia? Haikupotoshwa hapo kwa maslahi ya kumlinda huyo nyerere? Kila kitu kafanya yeye kutafuta uhuru, hii inaingia akilini kwako? Zinduka kuondokana na fikra mgando kuwa nyerere ni kila kitu tz. Hata kama asingekuwapo tz ingekuwapo na tungepata uhuru mapema zaidi-rejea kuomba uhuru uhairishwe tz (ombi la nyerere un).
Lengo lake lilikuwa nini? Kuimarisha kanisa katoliki.
Radio iman na nyengine zinazochambua ubaya wa nyerere zinawaelemisha wa tz kuhusu hujuma za kihistoria zilizofanywa kupotosha historia ya nchi na mkakati wa nyerere dhidi ya waislam waliopigania uhuru wa nchi hii na kisha kuwekwa pembeni kwa mwavuli wa udini. Hafai kabisa kusimuliwa kwa wema hata kidogo
hivi wewe unataka tuamini hiyo redio ya udaku badala ya ushahidi wa kihistoria hiyo redio nini ulitaka nchi hii ikombolewe na nani weye kichwa kinabaki kuwa kichwa na wewe sikio unabaki kuwa sikio tuu binuka pinduka huwezi kukizidi kichwa
 
kinachohojiwa na hawa jamaa si utendaji wake mbaya ama mzuri, kinachowatesa watu hawa ni ukristo wake na chuki dhidi ya ukristo.
hawa majamaa wanachuki na ukiristo chuki iliyopandwa na hiyo redio yao ya kinaa mnataka wote tuwe waislamu nn hiii ngumu bana
 
Nabii hakubaliki kwao.

Kutoka Kijiji cha Nyibokho, Kata ya Kisaka, Tarafa ya Ngoreme, Wilaya ya Serengeti, Mkoani Mara.....anakuja pale La Biblicana....namkubali sana Mwalimu Nyerere.

Mwalimu wa ukweee...!

Kuna tujitu tu kwa kuongozwa na roho mbaya na husda mbaya tunajaribu kuibua kila aina ya hoja chafu ili kumchafua Mwalimu. Wenye kuijua shule (elimu) watamuandika Mwalimu kwenye mbao za vyuo, wenye kuukumbatia ujinga watamhubiri kwa chuki kwenye redio za vichochoroni.
 
Last edited by a moderator:
Umaarufu unaweza kuwa wa kuchemka kama alivyochemka, miaka 25 ya uongozi nchi uwa maskini ndo uzalendo huo? of course atakumbukwa kwa hilo -ndo historia imekwisha toka hiyo. Tutamkumbuka tu kwa ubaya wake wa kujenga matabaka katika jamii kwa mfumo wa udini wake, ila alikuwa mjanja wa kujificha nyuma ya pazia kwa karama ya ulimi aliyojaaliwa

Bila ya kuwepo ban ungenitambua
 
Tatizo hawa ndugu zetu wanatamani Julius angekuwa anaitwa Juma,ila sasa huwezi badili historia.Hata ukisoma historia au somo la uraia bado utaona kuwa mwl. Jk alikuwa mwana filosofia au greater thinker wa karne yake.Waongeee,watiane ujinga msikitini bado JKN atabakia kuwa kiongozi pekee wa kuheshimika Tanzania.Tatizo lao wanafuata ya kijinga wana acha ya maana.
 
Na leo tumejiletea nini? Wizi,uongo na ufisadi wa mali ya umma!

Leo hii tunapokosa dawa,vipimo hospitalini na wanafunzi zaidi ya asilimia 70 wanafaulu kwenda kidato cha kwanza wakati hawajui kusoma wala kuandika,ww huoni kama huu ni msiba wa taifa unaosababishwa na fast jet?Enzi za Nyerere miaka ya 70 idadi ya watanzania waliokuwa wanajua kusoma na kuandika ilikuwa asilimia 90.Tatizo lenu ni kufikiria kwa kutumia masaburi.
 
Hivi Nyerere angekuwa mdini, angemuachia nchi "mchungaji" Hassan mwinyi kweli kile kiti?
Tazizo kuna watu wao wanatizama kila jambo kwa macho ya ubaguzi wa udini tu, wewe kama haupo nao imani moja ata ufanyeje hautakubarika machoni kwao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom