Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

Umeshawahi kuvaa makatambuga kama fashen bila kupenda?
Nimeshawa kutembea peku,sembuse makatambuga!Soma vizuri somo la Historia ili ujue binadamu alitoka wapi,yupo wapi na anaelekea wapi!
Ulaya na marekani zimetoka mbali sana mbaka kufika hapo zilipo ambapo zinaonekana kama shamba darasa!Suala la maendeleo ni mchakato,huwa linachukua muda mrefu!
Lengo la Nyerere ilikuwa ni kulinda viwanda vya ndani ili viendelee kutoa ajira kwa vijana na watanzania kwa ujumla.Haya sasa mliojifanya mnajua kutawala mmeua viwanda vyote matokeo yake vijana hawana ajira na hii ikiendelea vijana watawang'oa madarakani!
 
Shujaa kwako!mtu aliyetawala kwa miaka 25,akashindwa kvambua mahitaji MUHIMU ya raia wake,kwa kipindi chote hicho hakuweza KUJENGA JAPO CHUMBA KIMOJA TU CHA DARASA! HATA KM MOJA TU YA BARABARA YA TOPE ACHILIA MBALI LAMI.ALIYETAKA TULINGANE NA WANYAMA KWA KUTEMBEA UCHI.SINTA MSAHAU! UMESE
AMIGO! WEWE UMESEMA UKWELI MTUPU. mtu huyu alitutia umasikini na kulihaibisha taifa barani africa kwa kufuata tulsiasa za mchina. soka halikulipa! chuo kikuu kaweka azimio la musoma! hakuna kujenga viwanda na kila kukicha alikuwa ankamata wazurulaji na kuwapeleka mahali wasipotaka! muziki ulikuwa unawapa umasikini waimbaji!

kafanikiwa kuwafanya watu wamuabudu kwa maneno yake na sio kwa ushujaa wa kujenga uchumi imara! halafu sitomsahau kwa kutunyima raha ya kuwa na television kwa miaka 27! you need a heart of stone to give this man credits!
 
Inawezekana kabisa uislamu kama dini hauna matatizo.Lakini kwa bahati mbaya kuna watu wachache wanaojiita waislamu wanaifanya dini hii ionekane ya kihuni na kigaidi kwa matendo yao!Inafika wakati mtu anapata taabu kutofautisha uislamu na ugaidi!

Swali lilikuwa, unajuwa maana ya Uislaam?
 
Nimeshawa kutembea peku,sembuse makatambuga!Soma vizuri somo la Historia ili ujue binadamu alitoka wapi,yupo wapi na anaelekea wapi!
Ulaya na marekani zimetoka mbali sana mbaka kufika hapo zilipo ambapo zinaonekana kama shamba darasa!Suala la maendeleo ni mchakato,huwa linachukua muda mrefu!
Lengo la Nyerere ilikuwa ni kulinda viwanda vya ndani ili viendelee kutoa ajira kwa vijana na watanzania kwa ujumla.Haya sasa mliojifanya mnajua kutawala mmeua viwanda vyote matokeo yake vijana hawana ajira na hii ikiendelea vijana watawang'oa madarakani!

Hivyo viwanda usemavyo vilikufa au vililiwa na wasomi? Si unajuwa wasomi wetu ni kina nani?

Halafu anakuja msomi aliyeanza kwa kwenda chuo kabla ya shule ya msingi, Bakhresa, anachukuwa hivyo hivyo viwanda mlivyovila mpaka vikawa hoi bin taabani anavifanya vinailisha Tanzania nzima. Huoni ajabu hapo?
 
Mkuu kuna ukweli hutaki kuusema,viwanda vingi vilidhoofika na atimaye kufa baada ya kuruhusu uingizaji wa bidhaa kiholela!
 
Wazungu hawawezi kukupenda kama huna maslahi kwao hebu oneni akati Masimba wa Africa wakifungwa na kuteswa jela kama akina Mandela wengine ndo wanasifiwa fikiri marambili afu isome historia yako usiwe na akili ya kushikiwa ati mwalimu mwalimu wapenda nchi hii wengi waliuwawa na huyo mtu na wengine waliwekwa exile ukitaka kujua machafu ya huyo mnayemwita msafi tafuta nafasi uonane na dokta Maganga wa pale udsm kama umuombe akueleze mateso aliyopata enzi za mwalimu, Tatizo waBongo hatusomi tunafuata propaganda tu.
 
Kiujumla waislam hasa wale wa gashata wanahangaika bure2 kimlaum nyerer ; ukwel n kuwa upeo wa karbia waislam wote dunian upo chn na hawapend kujbdsha ktk kutafut wamekalia kuswal mar5 kwa cku sas maendeleo/kaz uutafany sangp¿¿¿
pia wanacem shule n ustaarab wq magarb wao wamekalia madrasa asbh had jion kukarr hadth za mtume wakt wemzao wanatafuta hela.
Matokeo yake wakishndwa kimaisha wanatafuta wa kumbebesha lawama.
 
Mkuu Ally Kombo ni matendo yako tu ndiyo yanaweza kukufikisha kwenye ufalme wa mungu,dini yako ni bure kabisa kwa mungu!

Uislaam haufuati maoni ya mtu bali andiko, ni kweli Dini ya Haki itashinda japokuwa mnachukia !

"Yeye (Mwenyezi Mungu) ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ili ipate kuzishinda dini zote, ijapokuwa washirikina watachukia.
Qur'an: 61:9

"
 
Mkuu najua kinachokusukuma kumsema Mwalimu..ni imani yako wala si kingine....maana watu wa imani yako ndio wanaongoza kwa kumsonga Mwalimu...
Lkn wenye akili tunajua hizo ndizo tabia zenu za asilikabisa katka imani yenu kugeuza geuza mambo..tunaowajua hamtusumbui...naweza weza hata kukupa andiko kutoka katika imani yako inayosapoti tabia zenu hizi za kufundishana hata kupigana bila kufikiri!!
Any way ..Nyerere kitu gani bwana, watu wanampinga Yesu kristo walimpinga akiwa hai, alipokufa,alipofufuka hadii leo wana mpinga na kupotosha mafundisho yake!! Watu wanampinga Mtume Mohamed SAW... walimpinga alipokuwa hai hadi leo wanampinga....!
Lakini mwisho wa siku kweli itasimama na itauweka huru, nuru itashinda giza!!

Unaweza kumfundisha mjinga lakini ni vigumu kumfundisha mpumbavu.
 
Uislaam haufuati maoni ya mtu bali andiko, ni kweli Dini ya Haki itashinda japokuwa mnachukia !

"Yeye (Mwenyezi Mungu) ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ili ipate kuzishinda dini zote, ijapokuwa washirikina watachukia.
Qur'an: 61:9
[/B]
"

Ahsante kaka! ... wataelewa tu :becky: najua thread itafungwa sasa hivi Mods wapo sensitive kwali na ID zetu ..
 
Wasio mkubali huyu mze wana matatizo binafsi kwa kweli......

FACT - tumefika hapa tulipo sababu ya madudu ya nyerere, baada ya miaka 20 alipoona nchi imemshinda akaamua kumuachia mwinyi
 
Ni msomi wa zamani na Rais wa kwanza wa Tanzania, hakuna anaepinga hilo, nawe usipinge kuwa yeye ndiye aliifanya hii nchi kuwa maskini wa mwisho duniani, alikuwa dikteta, na ndiye chanzo cha udini Tanzania kwa kulitumikia Kanisa Katoliki zaidi ya wananchi wake ambao wengi wao si wakatoliki na ndio sababu mpaka alipostaafu Mwitongo akihudumiwa na ma sista wa kanisani kama ma hausigeli wake na ndio katuzwa uwenye heri akingojea muujiza wa kumfanya mtakatifu.
Kazi ipo but na ujue alitetea ndugu zetu hawa wapate elimu ya bure kwa kutaifisha shule za mission za RC na nyingine za kikristo.
 
Wasiomkubali mwalimu Nyerere wana chuki binafsi ila kwa upande wa uongozi na fikra pevu na zenye kuona mbali,hajawahi tokea kiongozi safi Tanzania kama Nyerere.
Sio Tanzani tu, Africa nzima inaapreciate, wakati Leopold Senghol wa Ghana alikuwa na akili na Nelson Mandela wa Africa Kusini alikuwa mwadilifu, Nyerere alikuwa navyo vyote, akili na pia muadilifu. by profesa Anying Nyong'o-Kenya.
 
Wazungu hawawezi kukupenda kama huna maslahi kwao hebu oneni akati Masimba wa Africa wakifungwa na kuteswa jela kama akina Mandela wengine ndo wanasifiwa fikiri marambili afu isome historia yako usiwe na akili ya kushikiwa ati mwalimu mwalimu wapenda nchi hii wengi waliuwawa na huyo mtu na wengine waliwekwa exile ukitaka kujua machafu ya huyo mnayemwita msafi tafuta nafasi uonane na dokta Maganga wa pale udsm kama umuombe akueleze mateso aliyopata enzi za mwalimu, Tatizo waBongo hatusomi tunafuata propaganda tu.
Nyie mnashangaza sana, mtu yeyote ambae sio dini yenu hata afanye nini, ataonekana ni shetani, lakini akiwa dini yenu hata awe muuaji, ataonekana ni malaika, hili linathibitishwa nakitendo chenu cha kumchukia Nyerere na kumsifia Idd Amin.
 
Kwa hiyo inabidi ni mkubali Nyerere kwa sababu alisoma edinburgh university? That sucks.
 
Nyie mnashangaza sana, mtu yeyote ambae sio dini yenu hata afanye nini, ataonekana ni shetani, lakini akiwa dini yenu hata awe muuaji, ataonekana ni malaika, hili linathibitishwa nakitendo chenu cha kumchukia Nyerere na kumsifia Idd Amin.

Mkuu inakera SANA! lkn imepasa kuweko haya duniani....

Hizi ndizo sifa za yule ...wa zamani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom