Mshkaji wa karibu kammega demu wangu

Mwanamke kama hajaolewa yupo huru kumegwa na mtu yeyote. Hakuna Sheria inayokulinda kama hujafunga Ndoa. Kwa maana hiyo hakuna kitu kinachoitwa DEmu Wako, kisheria kinachoelewekani MKE WAKO. Halalisha kabla hatuja kumegea na wewe.

unamaanisha mchumba wako akimega sku moja kabla ya ndoa utafanyaje?utanyamaza kwa sababu haipo kwenye sheria?
 
kweli naungana na wana JF kwa kumwambia rfki yetu kuwa hiyo kitu haisomi kilomita hivyo avumilie tu na pia ukiona demu wako anamegwa na rafiki yako ujue unao upugufu wa kummega haumtoshelezi ndo maana anatafuta tiba mbadala.
 
wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa hapa nifanyeje?
nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
sijui nikiache, kudddkkkki
nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo

Hapo wa kulaumiwa ni demu wako. Lazima alijilengesha kwa mshkaji. Mara nyingi ukiona mwanaume ametembea na shemeji yake, au demu/mke wa rafiki yake au rafiki wa karibu wa mkewe au dada wa mkewe, ujue kwa kiasi kikubwa mwanamke ndiye aliyeanza kumweka yule mwanaume majaribuni.

Huyo demu wako anaelekea ni mshobokaji. Achana nae!
 
Na wewe Ivuga Bwana naona ulikuwa humpi huduma baada ya lile jini mahaba kila siku kuwa linakuburudisha ,am kidding
 
wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa hapa nifanyeje?
nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
sijui nikiache, kudddkkkki
nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo

Mkuu hakajatulioa hako, kapotezee. Shukuru kwamba hata hakuwa mkeo tayari. We anza mbele kama una uhakika kamegwa na 'shemeji' yake. Yote mipango ya Mungu kukuonesha aina ya mtu uliyemtrust.
 
Hapo naona tatizo si mshikaji tu...bali hata demu wako..ni vigumu sana mwanaume kumkatalia huduma demu kisa tu ni demu wa mshikaji wake..ndiko kusaidiana kwenyewe in case kuna mapungufu fulani fulani.Kaa na demu wako,mbembeleze mpk akubali kukuambia ukweli.Akisema ukweli utamuuliza how was the experience...and why did she go to him.Hii itakusadia wewe in the near future.

Just as an example,wewe ni mpenzi wa air tel tu,lkn mwezio ana mind tigo na airtel and your friend had tigo experties...so was very wonderful day to her....

I guess you know the answer why alikusaliti...dont mind that is life...make it work.
 
Ivuga pole
usichanganyikiwe sana shukuru Mungu umetambua hilo mapema kabla hajawa mkeo
hana heshima hata kama huyo shemeji amemtaka kimapenzi alikuwa na uhuru
wa kukataa hiyo ni tamaa mbaya sana
jipe moyo yatapita utampata asiyekuwa na tamaa ya kutembea na shemeji yake
endelea kupata baraka kwa kusaidia binadamu kama kawaida
 
Pole sana bwana Ivuga, haya mambo hutokea. Kwani ulimwacha kwa mda gani? Ulimuahidi kumuoa?
 
sio lazima kucomment kila thread inayowekwa hapa zikine piga kimya kula lapa ok? wewe hujui nipo kwenye hali gani ..wewe na wewe si utaoa mwanamke? au unadhani mke wako atakuwa sio binadamua

...Oopps, calm down bana.

Jamaa alikuwa anakupa ushauri tu.
Wengi tuna sympathize na wewe, wengine yalitukuta kuliko hayo.
Bila kupatwa na makasheshe kama haya utamthamini vipi akupendaye kiukweli?
Learn from it bana,..una kifua cha kustahmili, si ndio?

Life should go on!
 
wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa hapa nifanyeje?
nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
sijui nikiache, kudddkkkki
nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo

Ivuga, tatizo nini hapo? si mshikaji wako ameamua naye kukusaidia? Pole broda, analipa fadhila, misaada ni either way!
 
wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa hapa nifanyeje?
nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
sijui nikiache, kudddkkkki
nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo

Mmege na wewe
 
Bila kupatwa na makasheshe kama haya utamthamini vipi akupendaye kiukweli?

Moja, akupendaye kiukweli kamwe hawezi kukufanyia kama alivyofanyiwa Ivuga!

Mbili,utawezaje kweli kumthamini mtu aliyekusaliti na kukuletea maumivu ya moyo? Kweli watu tumetofautiana.
 
uliza kwanza msaada gani nilimsaidia/?
jamaa alikuja akawa anaishi kwanggu kwa mda so hapo ndio alivyojuana na demu wangu
hope umenipata

KWAIYO KM UNGEKUWA AUJAMSAIDIA MACHUNGU YASINGEKUWA MAKUBWA?
usitoe maneno et kwa sabbu umemsaidia

kosa lako ni kummega demu wako full stop

lakin pia mtu akisaidiwa na wewe aipaswi akulate down?

mambo madogo ayo ilioshwa mpya we kaa na demu uzungumze nae akikiri kosa mwambie akueleze mapungufu yako then jirekebshe afu km kawa......acha kumsimanga rafiki ako....KWAN USINGEMSAIDIA AU ANGEKUWA MTU BAK TU NDO ANGESSHNDWA KUKUMEGEA?
 
Mmmmh pole Ivuga.
Usikute ni lile Jini Mahaba linakuharibia mambo aisee.
 
Back
Top Bottom