Mshkaji wa karibu kammega demu wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshkaji wa karibu kammega demu wangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Saint Ivuga, Mar 29, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
  sasa hapa nifanyeje?
  nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
  kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
  kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
  sijui nikiache, kudddkkkki
  nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
  na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  .... e bana wee? kumsaidia mtu kunahusiana vipi na 'kumegewa' demu wako?
   
 3. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Sitoacha kusaidia mtu kwa sababu tu umemegewa na aliyekumegea ni mtu wako wa karibu/rafiki yako wa karibu na hilo pekee halitoshi kuacha kumsaidia mtu.. sasa mzee kama umemegewa na best friend tu marelia inapanda hadi kichwani je ukimegewa na mdogo wako au kaka yako wa tumbo moja? si utakufa kabisa? cha msingi temana na hako ka demu au kama una moyo wa kusamehe poa tu... kwani nini kaka ile kitu si haisomi kilometa mzee..we komaa nayo kama vipi...

  cha msingi sana katika maamuzi yako mie nilishashauriwa na mzee wangu kwamba USIMWAMINI MTOTO WA KIKE HATA KWA DAKIKA MOJA... Akili kumkichwa,
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  uliza kwanza msaada gani nilimsaidia/?
  jamaa alikuja akawa anaishi kwanggu kwa mda so hapo ndio alivyojuana na demu wangu
  hope umenipata
   
 5. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pole kwa kumegewa Demu wako, Najua Inauma Sana.
  Lakini Endelea na Moyo wa kusaidia watu, Hakuna uhusiano wa kusaidia mtu na kumegewa demu wako.

  Kwa kupunguza machungu, tafuta Demu wa mshikaji na wewe ummege. Kumbuka Madem ndio urithi pekee tulioachiwa sisi.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  hii ndio mistake ambayo niliifanya basi...da salaaaala!!
   
 7. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Looo Pole sana mkuu haya mambo ya USWAHIBA mara nyingine huwa yana madhara km hayo. Ila sio kila swahiba anatabia hiyo chafu ya kumega demu za wenzake. Nadhani hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja na huwezi kusema eti usisaidie watu tena maishani mwako.
  Ukiwa na rafiki jaribu kumsoma kiundani umwelewe na km una mashaka naye basi weka daraja fulani la kuwa karibu naye.

  Usifikirie kila mtu yuko na tabia km hiyo ya rafiki yako ukaacha kusaidia watu. Huwezi jua ktk maisha unaweza kutana na watu wenye roho za imani na wakakusaidia wewe pia maana sio kila siku wewe tu ndio utasaidia wengine.

  Najua umeumia sanaila mwite swahiba wako na huyo demu mzungumze kirafiki, na km umeamua kumwacha msigombane, haya matukio sio mwanzo leo wala sio mwisho. Mzungumze kiutu uzima bila jazba na mnaweza kuwa marafiki tu. Binadamu wengine wana tamaa za karibu na huwezi kuwalaumu ni hulka walizoumbwa nazo. Mchukuliane kwa upendo na amani na siyo kuwekeana kisasi.
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Malizia story yako.

  Siku zote nilikuwa najua una mke na watoto kumbe bado??
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  wewe hujaelewa hata nilivyounganisha hizo dot? kwanza kuanzia leo mabo ya washakaji kunitembela sijui kucheza PS sijui nini hakuna sasa hivi hawa mwishowe wanaweza kunifanyia mchongo na kuja kwangu kuvunja ...demu wangu kapigwa hiivi hivi daa!!
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kama demu wako amemegwa na mshikaji, basi ujue wewe una defficiences fulani fulani katika mwenendo wako wa mapenzi!
  Ni muda sahihi kwako kujipeleleza na kuibuka na majibu ya nini unashindwa kumridhisha nacho!
  Kukata misaada kwa ndugu na jamaa hakutasaidia kitu, zaidi sana utazidi kuumizwa tena kwa sana...
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  nope.. sijaoa bado na nikikaribia kuoa lazima nitakuja hapa kuwaalika kwenye arusi ...siwezi kuwanyima ndugu zangu
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ndo maana mie nikakwambia malizia story yako
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Huyo si demu tuu na sio mkeo, wacha wivu, rafiki yako ni wa kula nae sahani moja. Na yeye akileta wake na wewe kula. Ngoma "draw".
   
 14. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye mstari naona unapotosha kaka. Si vizuri kumega mademu za watu ipo siku yanaweza kukutokea puani ukajuta kuzaliwa. Pia ukumbuke maradhi na kikombe cha babu ni kimoja tu bora uchukue tahadhari. Tabia za kumega mega zimepitwa na wakati. Mbona wapo mademu chungu nzima hawana wanaume sasa hawa wa wenzenu mnawatamania nini?
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  PJ sio kweli kabisa huyu mtoto anapata kila kittu na ninavyoona jamaa alianza kumfuatilia mda sana ...na walitumia huu mwanya niliposafiri kwenda nje ya nchi .. dah!! but sema bado sijafunga bdoa ningeua jamaa yule
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  hapa ndio nilipokosea ndugu yangu
   
 17. C

  Chaldmhola Member

  #17
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Binadamu hana fdhila, tenda wema bila kutarajia kulipwa!
   
 18. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Tafuta mnyonge nawe ummegee ila ya kusaidia umeover look...wakati mkisaidiana hamkuwekeana vipengele vya kutomegeana!
   
 19. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  umemtuhumu demu wako lakini umekimbilia mabo ya msaada na hivyi kuharibu habari yote........

  kaka kusaidia wewe saidia wala uskate tamaa.....umemuuliza demu wako amekataa( mita mia) je umemuuliza huyo rafiki yako?....bado anakaa kwako?....ilikuwaje mpaka ukajua kuwa rafiki yako amemega demu wako?......halafu kwa mbali inaonekana kama huyo demu wako ulikuwa humuheshimu( kuna neno hapo juu kwenye habri yako umelitumia) pengine ndio maana imetokea kitu kama hicho......halafu kaka nikwambie....unafanya makosa sana kusema/kutwambia kuwa tusisaidie watu kama sio tumbo moja....hili ni kosa kubbwa sana kamanda....mimi huku niliko naishi na watu na ambao tunasaidiana kuliko hata ndugu.......tamaa za demu wak na rafiki yako zisikufnaye ukabadili mfumo mzima wa maisha......hata ukifa mara nyingi watu baki huwa ndio wanappiga koleo pale kaburini kukuzika tena wengine hawakuwahi kukutana na wewe wakati wa uhai......so we saidia bwana....by the way kaka halua haina kipolo mpige chini na tafuta mwingine....kwani nini upashe kipolo wakati vya kupikwa vipo?
   
 20. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kama kademu kako kameamua kumegwa na rafiki yako...nahisi yawezekana mambo fulani yana mushkeli.....nakushauri kabla hujaoa ukakamate kikombe samunge...tehehete etehheeee hahahahahah!
   
Loading...