de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,818
- 23,779
Upate idhini yakeNimshirikishe nini ?
Upate idhini yakeNimshirikishe nini ?
Indeed! napiga kambi hapa!Right
Sasa nyuzi zake si lazima ziwe accessible namna hiyo, bila ya yeye kukubaliIdhini ya nini
Dogo nitakupiga miti hadi umwite mama yako ili nihamie kwake wewe upumzike.Umemuita shogaako
Naomba Brother Mshana Jr aweke link za NYUZI zake zote kwenye hii part iwe rahisi kupata content zake za miaka ya kale.
tangu enzi za South Africa kujifunza ubuddist na uchawi mpaka kuokoka na kumrudia Sr.God.
Haya bwanaDogo acha papara kwani anauza content humu ndani?
stay tuned
Sawa sawa Mkuu.
Safi sana tho hizo link hazifungukiKipekee kabisa nichukue nafasi hii kuwashuru wafuatao
Mungu Mwenyezi baba wa mbinguni
Wazazi wangu
Familia yangu
Ndugu zangu, jamaa na marafiki
Members wote wa Jamii Forum
Uongozi mzima wa Jamii Forum
Hakika kila mmoja kwa nafasi yake amechangia mimi kuwa mimi ndani ya kipindi chote cha miaka sita... Asanteni sana
Hii ni sehemu ya kile nilichofanya ndani ya kipindi hicho chote.. In case you missed one of these topics...
ile chupi ikaanguka mbele ya wote
mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
paji la uso na siri ya jicho la tatu
makaburini ni sehemu...
- Mshana Jr
![]()
- Replies: 210
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Nimeona nitaweka moja moja au nitakualikaMshana Jr link ulizoweka hazifunguki View attachment 3661472