Kisa cha msanii Y-Dash na uchawi wa Igogo Mwanza

Kisa cha msanii Y-Dash na uchawi wa Igogo Mwanza

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,699
Wakati nafanya utafiti kuhusu " IMANI ZA KICHAWI NA USHIRIKINA NCHINI TANZANIA" nilitembea kwenye vijiji na vitongoji vyote vinavyo sifika kwa uchawi nchini Tanzania.

Moja Kato ya vitongoji nilivyotembelea ni pamoja na kitongoji/ Kata ya Igogo iliyopo kwenye Halmashauri ya manispaa ya Nyamagana jijini Mwanza.

Habari za Igogo Mwanza nilizikuta kwenye kilinge kimoja cha kichawi ambacho kipo kwenye kijiji kimoja kinachopatikana kwenye mpaka wa mikoa ya Morogoro na Lindi. Kilinge hicho kinaogopeka sana miongoni mwa washirikina na wachawi wa Tanzania.

Mtu asiekupenda akipeleka kushtaki jina lako kwenye kilinge hicho kama Leo basi kesho umezikwa.... Nilikuwa so much interested na habari za Igogo kama nilivyozipata kwenye kilinge hicho..

Niliambiwa kwamba Igogo ni moja kati ya vitongoji na vijiji vichache nchini Tanzania ambavyo vina " Heshima* ya kipekee ndani ya kilinge hicho.

Kwanini? 👇👇👇👇

Kwa sababu watu wengi wa Igogo wanaoenda kwenye kilinge hicho wanaenda kwa ajili ya kuua watu kwa uchawi.

Ngoja nikupe analogy ya hiki ninacho kizungumzia. Ulisha enda kwenye msiba mkoani na kwenye msiba huo kukawa na waombolezaji kutoka Dar jinsi wanavyo pewa special treatment? Utasikia "Jamani tusubiri kwanza watu kutoka Dar wapate sehemu ya kulala kwanza au wale kwanza ndio wengine mtafuta. (This applies to Kenya too watu wa Nairobi hupata special treatment kwenye misiba ya mikoani).


Mfano mwingine ni miaka ya tisini na elfu mbili mwanzoni jinsi graduate wa UDSM walivyokuwa wanapata special treatment kwenye interview za kazi? Utasikia Nshomile anasema "Tutaanza kufanya interview na graduates wa UDSM then wa vyuo vingine mtafuata baadae ".

Au enzi za Wahindi kununua kazi za muziki wa Bongo Fleva walivyo kuwa wana wabeba Gangwe Mobb na wasanii wa Temeke kwa ujumla. Utamsikia muhindi anasema "Bana bana bana. Wacha kwanza Gangwe Mobb aingie Dani kusign copy zake ndio na vengine mtafuata bana Barabara Chee Barbara Chee".

This is true of watu wa Igogo kwenye vilinge vingi vya kichawi Tanzania. Watu wa Igogo wakienda kuroga kilingeni they don't play wanaenda kuroga kweli sio mchezo mchezo. (Sio wa Igogo peke yake, wapo na watu kutoka kwenye vijiji na vitongoji vingine ila kwenye Uzi huu nimewataja watu wa Igogo kwa sababu ndio watuhumiwa wangu wa leo).

Mtu wa Igogo anaweza kwenda kulima shamba la mpunga heka kumi ili apate hela ya kwenda kupeleka kwa mganga kuroga mtu

Kufupisha story, nilipo enda Igogo nilishuhudia kwa macho yangu viwango vya juu vya Imani za kishirikina walivyo navyo watu wa Igogo. Kikiwa KITONGOJI ambacho wakazi wake wengi ni : WANYAMWEZI, WAHA, WAMANYEMA, WARANGI, WAKEREWE, WAJITA, WAKURYA, WAJALUO, na WANYANTUZU", Igogo inatawaliwa na Imani za kishirikina kwa viwango cha juu sana. Nitahitaji kitabu chenye kurasa elfu mbili matoleo kumi ( Ten Volumes) kuelezea ushirilkina wa Igogo.

Ngoja niende moja kwa moja kwenye point ya Uzi. Nadhani mmeiona video inayo trend ikimuonyesha msanii Y-Dash akiwa nchini South Africa katika Hali inayoashiria kwamba kijana huyu amekua teja.

Nimezungumza na " Contacts " wangu wa Igogo na wote wananyoosha vidole vyao kwa wachawi wa Igogo.

Wanasema kosa kubwa la Y-Dash ni kujiunga na kundi la muziki la TMK mwaka 2004. Iliwaudhi sana watu wa Igogo kwa kijana Y-Dash kujiunga na TMK.

Kwanini?

Yasin Habib a. K. a Y-Dash alizaliwa mwaka 1985 kwenye hospital ya Bugando jijini Mwanza kutoka kwa wazazi wake ambao kiasili ni wenyeji wa Kondoa ( WARANGI) ambao walihamia , Igogo jijini Mwanza miaka ya 70 mwishoni.

Yasin Habib alimaliza darasa la saba mwaka 1999 ( 2000?) katika Shule ya Msingi Azimio iliyopo hapo hapo Igogo jijini Mwanza. Baada ya hapo alianza kujishughulisha na muziki wa bongo Fleva kupitia kundi la " IGON HOMIES" ( Tamka AIGON HOMIZ) ambapo walifanikiwa kutoa wimbo inaitwa " AKILI" na hiyo ili kuwa ni mwaka 2002. Then mwaka 2004 , Y-Dash alionekana yupo na kundi la TMK wanaume Family.

Jambo hili liliwaudhi sana washirikina wa Igogo kwa sababu Y-Dash alivuka mstari ambao washirikina wa Igogo wamewawekea wazawa wa Igogo (mzawa wa Igogo hatakiwi kufanikiwa kwenye jambo lolote lile, binti awe Malaya anaejiuza, kijana awe mwizi akiwa mtu mzima awe jambazi akizeeka awe mchawi).

Wachawi wa Igogo waliapa kupambana na Y-Dash katika ulimwengu wa roho, anasema. " Contact " wangu. Na moja kati ya mambo ambayo wangeyatumia dhidi ya Y-Dash ni udhaifu mkubwa wa Y-Dash. Udhaifu mkubwa wa Y-Dash, anasema contact wangu, ilikuwa ni kujisikia na kujiona yeye ni bora kuliko wengine. Anaweza kupitia sehemu bila kusalimia. Anaweza kujifanya hakujui wakati mmekua wote au mmesoma wote etc.

"Kuna muda nilikuwa natamani kumuuliza rafiki yangu Omary Habib (kaka mkubwa wa Y-Dash / immediate brother) kama Yasin huwa anampa heshima yake kama kaka au walau kumsalimia kwa sababu kiburi cha Y-Dash kilionekana kama ugonjwa wa AKILI". Anasema contact wangu.

" Wengine walijiuliza je ni kwa sababu siku hizi yupo Dar, au yupo TMK Wanaume, au kwa sababu yeye mweupe Handsome? Akaongeza Contact wangu.. " Imagine alizaa na binti anaitwa Hawa mtoto wa kiume mwaka 2004/2005 lakini hakuwa na time na mtoto, na huyo Hawa mtaani kwao kuna magwiji kweli kweli" Aliendelea kufunguka contact wangu.

Contact wangu alifunguka mengi Sana lakini mwisho wa siku akasema .."Mambo yalianza kwenda kombo kwa Y-Dash, kama ifuatavyo:

1. Aligombana na Said Fella.

2. Akajitoa TMK yeye na YP na Jebby wakaunda kundi.

3. YP akafa kifo cha kutatanisha.

5. Jebby akafa kifo cha kutatanisha.

5. Y-Dash akahisi huenda na yeye watamuondoa (aliamini uchawi) akarudi kwao Mwanza then akaenda South Africa ambako amekuwa teja.

“Huko South Africa in hatari Sana kwa Y-Dash kwa sababu huko kufa kwa risasi ni rahisi Sana. Watakacho kifanya wachawi wa Igogo ni kumnuizia auwawe kwa risasi. Bora arudi bongo aanzae kuswali" Anasema. Contact wangu.

"Igogo kuna watu wabaya Sana, kuna watu we were upo unahangaika kutafuta maisha Ila yeye kila mwezi anachinja kondoo mmoja ili wewe usipate hela" Anasema contact wangu.

"Ili uinuke Igogo lazima ugangamale kweli vinginevyo Uwe unafanya kazi ambayo sio ya kuonekana lakini kama ya kuonelana lazima wale kichwa. Walio jaribu wengi walishindwa, mfano Dogo Sajna alitoa Wimbo wake Yveta baadae akaimba na Linah sasa hivi kawa mlevi kama muokota makopo, Hata George Masatu aliishiaga kudhulumiwa hela zake za mpira na mwanamke..Yani labda ujifanye wewe sio mtoto wa Igogo kama alivyo fanya Isha Mashauzi ni mtoto wa Igogo kabisa lakini hataji anaogopa". Alimaliza.

"Kaka Lisa cha Shemsa ambae Y-Dash alimuimba kwenye Wimbo ni cha kweli kabisa. Huyo Shemsa alimuacha Y-Dash akaenda kwa mkurya.. Ntakupa kisa chake, kuna vitu vingi Sana vya kichawi na kishirikina kwenye hicho kisa" Alimaliza contact wangu..

Next time nitaweka hapa kisa cha Shemsa.

NB : "Hata kumzushia Y-Dash kifo ni mbinu ya wachawi wa Igogo so awe makini Sana, that's how they operate. Watu wengi wanaozushiwaga kifo Igogo hufa muda mfupi baadae. Ni kama vile wachawi wanakuwa wamevujisha siri ya kilingeni" Alisema Contact wangu
 
Jamaa simulizi yako/hoja yako ni ndogo sana lakini ulivyoinenepesha/kuikuza/elasticitisize umepata kurasa saba.That's utter beating around the bushes!Be specific and direct to the point,chap!
Sawa
 
why Igogo yenyewe isiwe the richest place? Kwanini nguvu yote itumike kuharibu wengine badala ya kujenga kwao na kuwaletea maendeleo maeneo hayo?
Dhumuni kuu la uchawi na wachawi ni kuleta uharibifu,hofu,mafarakano,hisia hasi hata vifo.Ukipata utajiri kwa uchawi au furaha ni ya bandia tu na vina ukomo.
 
Mkuyuni ni karibu na Igogo right? IPO kama unaelekea Nyegezi karibu na Butimba?
Mimi mwanza nimezaliwa nimekulia ila mwanza siijui ..sijatembea sanaaaaaa.

Mkuyuni...njia panda butimba...iseni..then nyegezi, mkolani, buhongwa
 
Wakati nafanya utafiti kuhusu " IMANI ZA KICHAWI NA USHIRIKINA NCHINI TANZANIA" nilitembea kwenye vijiji na vitongoji vyote vinavyo sifika kwa uchawi nchini Tanzania. Moja Kato ya vitongoji nilivyo tembelea ni pamoja na kitongoji/ Kata ya Igogo iliyopo kwenye Halmashauri ya manispaa ya Nyamagana jijini Mwanza.. Habari za Igogo Mwanza nilizikuta kwenye kilinge kimoja cha kichawi ambacho kipo kwenye kijiji kimoja kinachp patikana kwenye mpaka wa mikoa ya Morogoro na Lindi. Kilinge hicho kinaogopeka sana miongoni mwa washirikina na wachawi wa Tanzania.. Mtu asie kupenda akipeleka kushtaki jina lako kwenye kilinge hicho kama Leo basi kesho umezikwa.... Nilikuwa so much interested na habari za Igogo kama nilivyo zipata kwenye kilinge hicho.. Niliambiwa kwamba Igogo ni moja kati ya vitongoji na vijiji vichache nchini Tanzania ambavyo vina " Heshima* ya kipekee ndani ya kilinge hicho.

Why? 👇👇👇👇

Kwa sababu watu wengi wa Igogo wanao enda kwenye kilinge hicho wanaenda kwa ajili ya kuua watu kwa uchawi..


Ngoja nikupe analogy ya hiki ninacho kizungumzia. Ulisha enda kwenye msiba mkoani na kwenye msiba huo kukawa na waombolezaji kutoka Dar jinsi wanavyo pewa special treatment? Utasikia " Jamani tusubiri kwanza watu kutoka Dar wapate sehemu ya kulala kwanza au wale kwanza ndio wengine mtafuta. ( This applies to Kenya too watu wa Nairobi hupata special treatment kwenye misiba ya mikoani).

Mfano mwingine ni miaka ya tisini na elfu mbili Mwanzoni jinsi graduate wa UDSM walivyo kuwa wana pata special treatment kwenye interview za kazi? Utasikia Nshomile anasema " Tutaanza kufanya interview na graduates wa UDSM then wa vyuo vingine mtafuata baadae ". Au enzi za Wahindi kununua kazi za muziki wa Bongo Fleva walivyo kuwa wana wabeba Gangweo Mobb na wasanii wa Temeke kwa ujumla. Utamsikia muhindi anasema " Bana bana bana. Wacha kwanza Gangwe Mobb aingie Dani kusign copy zake dio na vengine mtafuata bana Barabara Chee Barbara Chee".

This is true of watu wa Igogo kwenye vilinge vingi vya kichawi Tanzania. Watu wa Igogo wakienda kuroga kilingeni they don't play wanaenda kuroga kweli sio mchezo mchezo. ( Sio wa Igogo peke yake, wapo na watu kutoka kwenye vijiji na vitongoji vingine ila kwenye Uzi huu nimewataja watu wa Igogo kwa sababu ndio watuhumiwa wangu wa Leo)MTU wa Igogo anaweza kwenda kulima shamba la mpunga heka kumi ili apate hela ya kwenda kupeleka kwa. Ganga kuroga mtu

Kufupisha story, nilipo enda Igogo nilishuhudia kwa macho yangu viwango vya juu vya Imani za kishirikina walivyo navyo watu wa Igogo. Kikiwa KITONGOJI ambacho wakazi wake wengi ni : WANYAMWEZI, WAHA, WAMANYEMA, WARANGI, WAKEREWE, WAJITA, WAKURYA, WAJALUO, na WANYANTUZU", Igogo inatawaliwa na Imani za kishirikina kwa viwango cya juu sana. Nitahitaji kitabu chenye kurasa elfu mbili matoleo kumi ( Ten Volumes) kuelezea ushirilkina wa Igogo.

Ngoja niende moja kwa moja kwenye point ya Uzi. Nadhani mmeiona video inayo trend ikimuonyesha msanii YDash akiwa nchini South Africa katika Hali inayo ashiria kwamba kijana huyu amekua teja.

Ninezunngumza na " Contacts " wangu wa Igogo na wote wana nyoosha vidole vyao kwa wachawi wa Igogo.

Wanasema kosa kubwa la Y-Dash ni kujiunga na kundi la muziki la TMK mwaka 2004. Iliwaudhi sana watu wa Igogo kwakijana Y Dash kujiunga na TMK.
Kwanini?

Yasin Habib a. K. a Y-Dash alizaliwa mwaka 1985 kwenye hospital ya Bugando jijini Mwanza kutoka kwa wazazi wake ambao kiasili ni wenyeji wa Kondoa ( WARANGI) ambao walihamia , Igogo jijini Mwanza miaka. Ya 70 mwisho ni.

Yasin Habib alimaliza darasa la saba mwaka 1999 ( 2000?) katika. Shule ya Msingi Azimio iliyopo hapo hapo Igogo jijini Mwanza. Baada ya hapo alianza kujishughulisha na muziki wa bongo Fleva kupitia kundi la " IGON HOMIES" ( Tamka AIGON HOMIZ) ambapo walifanikiwa kutoa wimbo inaitwa " AKILI" na hiyo ili kuwa ni mwaka 2002. Then mwaka 2004 , YDash alionekana yupo na kundi la TMK wanaume Family. Jambo hili l iliwaudhi sana washirikina wa Igogo kwa sababu YDash alivuka mstari ambao washirkina wa Igogo wamewawekea wazawa wa Igogo ( mzawa wa Igogo hataliwo kufanikiwa kwenye jambo lolote lile, binti awe Malaya anae jiuza, kijana awe mwizi akiwa mtu mzima awe jambazi akizeeka awe mchawi).

GWachawi wa Igogo waliapa kupambana na YDash katika ulimwengu wa roho, anasema. " Contact " wangu. Na moja kati ya mambo ambayo wangeyatumia dhidi ya YDash ni udhaifu mkubwa wa YDash. Udhaifu mkubwa wa YDash, anasema. contact wangu, ili kuwa ni kujisikia na kujiona yeye ni Bora kuliko wengine. Anaweza kupitia sehemu bila. Kusalimia. Anaweza kujifanya hakujui wakati mmekua wote au mmesoma wote etc. " Kuna muda nilikuwa natamani kumuuliza rafiki yangu Omary Habib ( kaka mkubwa wa Y Dash / immediate brother) kama Yasin huwa anampa heshima yake kama kaka au walau kumsalimia kwa sababu kiburi cha YDash kilionekana kama ugonjwa wa AKILI". Ansema contact wangu.

" Wengine walijiuliza je ni kwa sababu siku hizi yupo Dar, au yupo TMK. Wanaume, au kwa sababu yeye mweupe Handsome? Akaongeza Contact wangu.. " Imagine alizaa na binti anaitwa Hawa mtoto wa kiume mwaka 2004/2005 lakini hakuwa na time na mtoto,na huyo Hawa mtaani kwao kuna magwiji kweli kweli" Aliendelea kufunguka contact wangu.

Contact wangu alifunguka mengi Sana lakini mwisho wa siku akasema .."Mambo yalianza kwenda kombo kwa YDash, kama ifuatavyo:

1. Aligombana na Said Fella.

2. Akajitoa TMK yeye na YP na Jebby wakaunda kundi.

3. YP akafa kifow cha kutatanisha.

5. Jebby akafa kifo cha kutatanisha.

5. Y Dash akahisi huenda na yeye watamuondoa ( aliamini uchawi) akarudi kwao Mwanza then akaenda South Africa ambako amekuwa teja.

" Huko South Africa in hatari Sana kwa YDash kwa sababu huko kufa kwa risasi ni rahisi Sana. Watakacho kifanya wachawi wa Igogo ni kumnuizia auwawe kwa risasi. Bora arudi bongo aanzae kuswali" Anasema. Contact wangu.

" Igogo kuna watu wabaya Sana, kuna watu we were upo unahangaika kutafuta maisha Ila yeye kila mwezi anachinja kondoo mmoja ili wewe usipate hela" Anasema contact wangu.

" " Ili uinuke Igogo lazima ugangamale kweli vinginevyo Uwe unafanya kazi ambayo sio ya kuonekana lakini kama ya kuonelana lazima wale kichwa. Walio jaribu wengi walishindwa, mfano Dogo Sajna alitoa Wimbo wake Yveta baadae akaimba na Linah sasa hivi kawa mlevi kama muokota makopo, Hata George Masatu aliishiaga kudhulumiwa hela sake za mpira na mwanamke..Yani labda ujifanye wewe sio mtoto wa Igogo kama alivyo fanya Isha Mashauzi ni mtoto wa Igogo kabisa lakini hataji anaogopa". Alimaliza.

" Kaka Lisa cha Shemsa ambae YDash alimuimba kwenye Wimbo nj cha kweli kabisa. Huyo Shemsa alimuacha YDash akaenda kwa mkurya.. Ntakupa kiss chake, kuna vitu vingi Sana vya kichawi nankishirikina kwenye hicho kisa" Alimaliza contact wangu..


Next time nitaweka hapa kisa cha Shemsa.

NB : " Hata kumzushia YDash kifo ni mbinu ya wachawi wa Igogo so awe makini Sana, that's how they operate. Watu wengi wanaozushiwaga kifo Igogo hufa muda mfupi baadae. Ni kama vile wachawi wanakuwa wamevujisha siri ya kilingeni" Alisema Contact wangu
Aisee....
 
why Igogo yenyewe isiwe the richest place? Kwanini nguvu yote itumike kuharibu wengine badala ya kujenga kwao na kuwaletea maendeleo maeneo hayo?
Siasa za uchawi haziruhusu maendeleo. Hazitaki mtu afanikiwe. Zinataka wote muwe masikini. Ukionyesha dalili za kujiondoa kwenye u masikini wanakuroga ili wote muendelee kuwa sawa. They need partners in sufferance
 
Back
Top Bottom