Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,791
Kipekee kabisa nichukue nafasi hii kuwashuru wafuatao
Mungu Mwenyezi baba wa mbinguni
Wazazi wangu
Familia yangu
Ndugu zangu, jamaa na marafiki
Members wote wa Jamii Forum
Uongozi mzima wa Jamii Forum
Hakika kila mmoja kwa nafasi yake amechangia mimi kuwa mimi ndani ya kipindi chote cha miaka sita... Asanteni sana
Hii ni sehemu ya kile nilichofanya ndani ya kipindi hicho chote.. In case you missed one of these topics...
ile chupi ikaanguka mbele ya wote
mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
paji la uso na siri ya jicho la tatu
makaburini ni sehemu iliyojaa upweke
kuna watu hufa mara mbili
vituko vya mochwari
meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo
kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?
Adam pekee ndie mwanaume ambaye hakuwa na vinasaba vya kike
Bibi Tina wa mwananyamala
professionals and ameteurs
uwezo wa kuongea na wafu elimu iliyoshindikana duniani
kiingilio cha madhabahu za giza
kuna familia zina laana ya asili
Dr. Louis Shika: under cover agent aliyenusurika kifo uhai?
kuna ardhi zimevimbiwa maovu
wafu hawana madhara ogopa walio hai
Tiba mbadala ya chumvi
mochwari: chimbo muhimu la wachawi na waganga
dhambi ambayo hata shetani huikimbia
dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho
sanaa ya kifo
a day in the Buddhist college
Nknk
Ni kupitia mada hizi na nyingine nyingi niliweza kuongeza na kupanua ufahamu wangu kwa kiwango kikubwa mno
Ni kupitia mada hizi niliweza kupata marafiki wengi lakini na haters pia.. Sukuwahi kumchukia hata yule ambaye kwa sababu zozote hatukwenda sawa...
Mimi ni binadamu kama wengine si mkamilifu ninaposherehekea miaka sita ndani ya Jamii Forum nachukua nafasi hii kuomba radhi kwa yoyote yule ambaye kwa namna moja ama nyingine alikwazika na maandishi na mitazamo yangu

Asanteni sana
Jr
19 August 2018
Msata kilingeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrudie Muumba wako kwa moyo wako wote, kwa akili zako zote na kwa nguvu zako zote
 
Na ile ID yako nyingine ina umri gani mkuu?
Happy joining day to you boss. Nitapita msata hapo kuchukua wale kuku wetu wa bei chee (wanaoletaga wateja kwa ajili ya dawa).
 
Hongera sana kwa kutimiza umri huo Jf, pia hongera kwa kuwa member pekee unayeleta posts zenye imani asilia za uafrika wetu.

Pamoja na hayo nikuombe uache hulka za ukabila na ukanda,,,, acha kabisa huo ubaguzi, ni mbaya sana ikiendelea kumea akilini mwako!!!

Wasalaam!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa pongezi na ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipekee kabisa nichukue nafasi hii kuwashuru wafuatao
Mungu Mwenyezi baba wa mbinguni
Wazazi wangu
Familia yangu
Ndugu zangu, jamaa na marafiki
Members wote wa Jamii Forum
Uongozi mzima wa Jamii Forum
Hakika kila mmoja kwa nafasi yake amechangia mimi kuwa mimi ndani ya kipindi chote cha miaka sita... Asanteni sana
Hii ni sehemu ya kile nilichofanya ndani ya kipindi hicho chote.. In case you missed one of these topics...
ile chupi ikaanguka mbele ya wote
mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
paji la uso na siri ya jicho la tatu
makaburini ni sehemu iliyojaa upweke
kuna watu hufa mara mbili
vituko vya mochwari
meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo
kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?
Adam pekee ndie mwanaume ambaye hakuwa na vinasaba vya kike
Bibi Tina wa mwananyamala
professionals and ameteurs
uwezo wa kuongea na wafu elimu iliyoshindikana duniani
kiingilio cha madhabahu za giza
kuna familia zina laana ya asili
Dr. Louis Shika: under cover agent aliyenusurika kifo uhai?
kuna ardhi zimevimbiwa maovu
wafu hawana madhara ogopa walio hai
Tiba mbadala ya chumvi
mochwari: chimbo muhimu la wachawi na waganga
dhambi ambayo hata shetani huikimbia
dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho
sanaa ya kifo
a day in the Buddhist college
Nknk
Ni kupitia mada hizi na nyingine nyingi niliweza kuongeza na kupanua ufahamu wangu kwa kiwango kikubwa mno
Ni kupitia mada hizi niliweza kupata marafiki wengi lakini na haters pia.. Sukuwahi kumchukia hata yule ambaye kwa sababu zozote hatukwenda sawa...
Mimi ni binadamu kama wengine si mkamilifu ninaposherehekea miaka sita ndani ya Jamii Forum nachukua nafasi hii kuomba radhi kwa yoyote yule ambaye kwa namna moja ama nyingine alikwazika na maandishi na mitazamo yangu

Asanteni sana
Jr
19 August 2018
Msata kilingeni

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe mshana we mdogo wangu kwa vidato humu jf...sema una nyota kali sana

Unatuahidi nini Mkuu? Kwa mafanikio hayo yapasa tukutumie namba zetu angalau kila mtu umlambishe buku la Airtime au unasemaje mkuu?
 
Hongera sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom