Mshana Jr special thread

Mshana Jr special thread

Mkuu Mshana Jr nakukumbushqa nilishawahi kukuomba utuandikie uzi kwa nini ofisi kubwa kubwa kunakuwa na maua ambayo ni ya asili ?

Majina yake kama Ulimi wa Mama Mkwe, Aloe Vera, Jerusalem flower etc huwa yana maana gani ? Kuna siri gani ?
 
Naomba Brother Mshana Jr aweke link za NYUZI zake zote kwenye hii part iwe rahisi kupata content zake za miaka ya kale.

tangu enzi za South Africa kujifunza ubuddist na uchawi mpaka kuokoka na kumrudia Sr.God.
Mshana ana special thread???

Nakubali kwansababu sayansi mimea bado sua Wana suasua.

Kuna watu hawajui kwamba kuna muda unatakiwa ulale na bakuli la maji safi chumbani ili kuhakikisha O2 inakiwepo
 
kwani akiwa na thread kuna ubaya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom