Daa hilo beat limesimama sanaSadism is inevitable when the situation is alarming
Umenisemea yale yaliyo ndani ya moyo wangu, tukubali tu kuwa Watanzania sisi ni VILAZA na ccm inajua hili ndio maana inafanya chochote kile sababu uwezo wa kuwaondoa Hatuna.Huu usiri usiri ambao Watanzania wamekuwa wakiuendekeza miaka nenda rudi ndio unatuponza,nchi inapigwa kila siku sababu ya mambo kama haya ya kuficha ficha hata vitu visivyo na maana.
Meremeta watu wamepiga wakasingizia jeshi na utetezi wao mambo ya jeshi ni siri,mtu mwingine kasukumia soo yake jeshini ili watu Waache kuongelea ubovu wa MV Dar .
Escrow mpaka leo haijulikani nani walichukua pesa kwenye viroba pale stanbic.
Ndugu yangu MiniActivist,Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;
1. Form six.
2. Shahada moja.
Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
Kwanza: Maelezo yako mazuri na yana vutia lakini lakini nahisi umesahau baadhi ya vitu ndio maana umeandika sana, mambo ya kijeshi hayajadiliwi na sio siri lakini hukumu zake kwenye sheria ndio tatizo, naamini wapo humu wenyewe na wale ambao wenye uwezo wa kukwambia hicho unachokitaka lakini kwa bahati mbaya umesahau kila taifa na sheria zake.Ama kweli watanzania ni KICHWA CHA MWENDAWAZIMU.
Mbona huko nchi za wenzetu mishahara ipo wazi kabisa? Hivi Watanzania mnafurahia wanajeshi kuongezewa mishahara zaidi kuliko walimu ambao ndio mhimili wa uchumi na maendeleo ya nchi? Mpaka sasa nani ambae anaishi maisha magumu kati ya Mwanajeshi na Mwalimu? Kwanini mwalimu adharaulike kisha mshahara pia humuongezei?
Watanzania tulivyo na akili za kihuni na vichwa kujaa maji ndo kunapelekea akina Shimbo wa JWTZ kukutwa na Trilion 3 za kitanzania huko nje? Watanzania tunaoja hili ni la kawaida? Serious? 3 trilionz, kweli???
Tumesahau kuhusu Meremeta, ufisadi unafanyika kwa mgongo wa JWTZ, na bado tunakumbatia mambo ya jeshi kuwa siri? Nani katuroga sisi wajinga sisi?
Sio hawahawa JWTZ ambao wameenda Zanzibar ili kutuliza wananchi wasidai haki yao ya kumchagua Rais waliyempenda kwa haki?
Si ndo hawa walimwagwa Mtwara ili gesi ihujumiwe?
Watanzania tuamke, hakuna usiri na uzalendo kama tunaona ujinga unafanyika iwe ndani ya IKULU, TISS au JWTZ. HAKUNA KUKAA KIMYA, ETI MNATETEA MAMBO YA JESHI KUWA NI SIRI WAKATI NCHI INAZIDI KWENDA MLAMA.
Naona bado ngoma imekuwa ngumu, unaweza ukasema hizo sheria? Tanzania tunafuata sheria? Kwahiyo Mkuu, leo hii Mkuu wa Majeshi akiamua kukomba pess basi yeye hukumu yake itasomwa kwa siri kwa kuwa ni JWTZ sio? Tangu lini Tanzania tumefuata utawala wa sheria? Sio sheria zinazotetea hata mikutano ya kisiasa lakini mtu mmoja anakuja kukakataa?Kwanza: Maelezo yako mazuri na yana vutia lakini lakini nahisi umesahau baadhi ya vitu ndio maana umeandika sana, mambo ya kijeshi hayajadiliwi na sio siri lakini hukumu zake kwenye sheria ndio tatizo, naamini wapo humu wenyewe na wale ambao wenye uwezo wa kukwambia hicho unachokitaka lakini kwa bahati mbaya umesahau kila taifa na sheria zake.
Kwahiyo ukitaka uambiwe kuhusu hilo kuna wizara husika au msemaji wa hicho chombo ndio anaweza kukwambia na sio kila mtu aseme tu, ukifuata hizo taratibu naamini utaambiwa hicho unachotaka kujua.
Pili: Kila nchi n sheria zake za Uinzi wa taifa, na ndio maana nchi kama Marekani wao wameweka wazi mishahara yao kwa vile ni nchi ambayo ina uwezo na nguvu duniani lakini mbona hata South Africa mishahara yao haiko wazi.
Tatu: Mshahara wa mtu ni siri baina yake na muajiri wake.
Laumu waliotunga hizo sheria za Ulinzi wa taifa.
Sina maana hiyo, lakini wanaotafsiri sheria wao ndio wenye jukumu la kumwajibisha mtu kulingana na sheria,Naona bado ngoma imekuwa ngumu, unaweza ukasema hizo sheria? Tanzania tunafuata sheria? Kwahiyo Mkuu, leo hii Mkuu wa Majeshi akiamua kukomba pess basi yeye hukumu yake itasomwa kwa siri kwa kuwa ni JWTZ sio? Tangu lini Tanzania tumefuata utawala wa sheria? Sio sheria zinazotetea hata mikutano ya kisiasa lakini mtu mmoja anakuja kukakataa?
ina maana huu umaarufu upo Tanzania tu? Umesikia wenzetu USA wakimpinga trump kwa tamko lake? Anyway Mkuu, mimi naomba yaishe maana tukianza kujadili kuhusu hii inchi naweza nikapata hasira sana. Hauwezi ukaniambia kuwa eti kisa mtu anajuana na majaji na mahakimu basi ndo maana wanafanya madudu na hawashtakiwi. So ina maana Jaji Mkuu akipata nafasi anaweza akaiba saana anavyotaka yeye kisa tu atakuwa na watu wa kumtetea?Sina maana hiyo, lakini wanaotafsiri sheria wao ndio wenye jukumu la kumwajibisha mtu kulingana na sheria,
Mimi, wewe na yule wote tunaweza kufanya kosa moja mfano tumeua.
Mimi kwa vile sina jaji hata moja nnaemfahamu hata nikiweka wakili ni sawa na bure, mwisho wa hukumu naweza fungwa maisha.
Wewe kwa vile ni mtu maarufu hata kama umeua kweli tena kwa kukusudia lakini utaweka mawakili na kwa vile majaji wengi wanakufahamu, ukoo wako maarufu waweza shinda kesi.
Yule nae anaweza akawa anajulikana sana, wazazi wake ni watu mashuhuri, majaji wengi wanamjua, ameweka mawakili wazuri na ana uwezo kifedha, kesi yake itaunguruma mwisho wa siku itazimwa na kushinda kesi.
Umeuona utofauti hapo
Unaukuza mshahara Wa MTU ....ili iweje..? Naukiujua itakusaidia nini?....kama wao wanajeshi wenyewe hawataki kuweka mshahara wao hadhani.....wewe inakuhusu nini....Kuna vitu vyakuuliza vingine havifai kuulizia ......viache viendelee hivyo....hivyo....Jf hakuna Wa kukupa habari hiyo....harafu mwanajeshi ni zaidi ya Rais ( anamafunzo) tofauti na Rais ambaye ni politician ili Ku gain popularity lazima ataje salary yake............taja Kazi yako wewe kwanza ukiweka na salary slip ya kwa uthibitisho.....pamoja na picha yako halisi .....naamini sana Jf wanahekima sana watakutajia ...ila tekeleza LA hapo juu kwanza.Njoo hapa Upanga Ulizia afande Mgimwa atakuambia kila habari unayotaka kujua
[emoji2]
hata akiujua utamsaidia nini sasa, mshahara wa Raisi hata ukiujua haukufanyi uvutike kuiomba nafasi hiyo,,,, sasa jeshini ni kada ya kawaida kabisa kama mtu unapenda kujiunga na jeshi wewe nenda kajiunge si basii suala la mshahara utakutana nalo huko huko sio suala letu huna uzalendo wewe maana unatanguliza pesa sana badala ya wito binafsi
Hiyo ilikuwa miaka ya 90 na 2000, njoo mtaani uone vijana wajeda degree holder wanafanya anasa na mikoko maisha mazuri halafu wako soooft, mafunzo ndio wanapata baada ya hapo ni kuku ,bia, nk
Raisi sio jeshi...muachage ujinga wakati mwingine. Kesho mtakuja na hoja ya kutaka kufaham kila kambi ya jeshi ina silaha gan na ngapi simply eti ni kodi zetu......Sijaona tatizo la mtoa mada, ameomba kujuzwa tu. Mbona hata mshahara wa Rais unajulikana sembuse wa wanajeshi?
Kumbe unatwanga sio haya endelea nimeku markHaya mambo yatabadilika tuu kadri siku zinavyoenda na kizazi kuzidi kuamka,eti umaficha mambo ya jeshi kuhusu mshahara,inaingia akilini kweli?.Kuonyesha kua mambo yanabadilika hata yule aliyekua msemaji wa JWTZ alivyoropoka kua "saddism is innevitable when the situation is alarming" bila shaka aliona jinsi ambavyo jamii ili-react,ifike mahali hili jeshi liwe la kisasa nasio kua na mambo ya hovyohovyo,mi ndomana nikikorofishwa na askari yeyote mi namtwanga tu ilimradi wasiwe wengi.Napiga na kesi ikienda mahakamani kosa langu linakua ni "common assault" na faini yake ni ndogo.
mpaka #251 hakuna jibu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wanajeshi mmetisha, yaan hata wale memba hum hawatoi majib, duh kwel jesh noma, salut brother's...
Walao kidogo ww umejitahidi kujib swali, ila wanakula ndefu, asee.... Ndyo maana huwa hawalii njaa, na kwa ujumla niwaamilifu, ukiachia mapungufu madogo tu kwao....Inategemea na Rank nikupe kwa uchache tu.
-Hawa Manjuka "MAKURUTI" - Recruit wanalipwa Kama Laki 9 hivi Jumla
-Mbavu za Mbwa - V moja mpaka V3 Wanacheza 1m - 1.2m
-Nyota 1 Mpaka Nyota 3 - Wanacheza na 2m
-Nenda na Range hiyo Tofauti ya laki 2 hadi 3 kila Rank,mPaka utafikia level za Mageneral.(Pia tambua kila level reshen,per diem,allowance zinategemeana na scale ya mshahara,resheni ya KURUTI na KEPTENI ni tofauti....kwahiyo nako kuna utofauti)