DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,101
- 11,876
Wakuu huu uzi haitakiwi ku-discuss issues nje ya mshahara 😅🤣😂
Tumueleweshe jinsi ya kutunza pesa, au atajifunza mwenyewe
Usijiunge na chochote. Subiri angalau mwaka mmoja ndio utajua nn unatakaNielimisheni jamani kuna watu wanaitwa NIC washa tupitia huku wanataka hela zangu.
Na unachekesha zaidi kama kikwete ni mjomba ako na Samia ni Dada ako 😅🤣😂Huu uzi unachekesha kinoma noma..
Au sioHuu uzi unachekesha kinoma noma..
Hawa matako wanajua kabisa pamoja na ukatili wa magufuli lakn salary ilikua inatoka mapema hadi mwamba akawa anajipiga kifua.Unakuta Salary Slip anafanya kazi Hazina, anatu enjoy tu.
Hujaelewa, kwa hiyo nikipangilia vipaumbele vyangu ndio sitakiwi kufatilia mshahara wangu? Si ni jasho langu! ama sivyo?Hivi mnashindwaje kupangilia hela zenu na vipaumbele vyenu...yani ikifika trh 20 tuu watu mmeshachoka vibaya mnoo
Nikimwona mtu anamfisia kibudu Jiwe huwa namwona tahira kwa 100%.Hawa matako wanajua kabisa pamoja na ukatili wa magufuli lakn salary ilikua inatoka mapema hadi mwamba akawa anajipiga kifua.
Sijasema usifatilie...wapi nimeandika hivyoHujaelewa, kwa hiyo nikipangilia vipaumbele vyangu ndio sitakiwi kufatilia mshahara wangu? Si ni jasho langu! ama sivyo?
Mkuu huo ushauri uliotoa af if hawana mipango/budgeting... Jamaa amekujibu hivyo kwa sababu kuna watu wakiona issues ya ku demand mshahara utoke wao wana-term kama waajiriwa hawana mipango kumbe mipango wanayo ila wanautaka mshahara coz ni haki yao na ni moja ya mipango yao.Sijasema usifatilie...wapi nimeandika hivyo
Masaa 48 ni siku 2 ujue.Tulieni bado masaa 48 tu
Mkuu, apo tofauti na salary Advance nini bwana. Shusha riba.Wakuu ntaanza kutoa Mikopo kwanzia tarehe 25 najua mtakuwa mmemaliza hela yote
Nikikupa 200k ikifika tarehe 20 unalipa 260k ambao mtakuwa tayari muandike majina yenu na kiasi mtakachochukua.
Mshahara wa mwezi huu ni leo, huo wa masaa 48 binafsi siutambuiTulieni bado masaa 48 tu
Basi riba itakuwa 50k hapo vipi?Mkuu, apo tofauti na salary Advance nini bwana. Shusha riba.