Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Walituambia after two to three weeks watatuwekea pesa,sasa sijui ni mshahara au posho...
Mwanzo walisema kuna pesa watawawekea it means ni yakujikimu manaa hadi alikadiria weeks, Salary inakuwa na vimichakato vingi mara sijui Check number ilichelewa mara sijui Approval kafanyaje ila unatakiwa ulipwe mkuu hela yako kwa vyovyote vile
 
Ngoja tuwasikilizie mkuu,maana hata kwenye group hawajatoa update yoyote mpaka sasa
 
Hivi sisi ajira mpya tutalipwa kweli,?maana tumeripoti tangu tarehe 8 mwezi huu tukaambiwa turudi home kwanza mpaka wao watuwekee pesa,cha ajabu hr ameanza story mara ooh mwezi huu hatujafanya kazi hivyo hana uhakika kama tutalipwa na blah blah zingine.
Tamisemi? Kada ipi?
 
Ni mshahara nilikuwa najenga ili nisiwe "homeless" lakini naishia kuwa "homeless" bonge la movie
download (1).jpeg
 
Back
Top Bottom