Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ni mshahara nilikuwa najenga ili nisiwe "homeless" lakini naishia kuwa "homeless" bonge la movie
images (1).jpeg
 
Muwe mnasoma trend ndugu watumishi na wafanyakazi. Tarehe za mshahara zikiwa kati kati ya wiki basi kuna uwezekano mkubwa wa mshahara kuingia tarehe 23 hadi 24

Tarehe zikikaribiana na weekend basi kuna high possibility mshahara kutoka tarehe 21 na tarehe 22..

Na kwa mfano tarehe 23 imeangukia jumapili na mshahara ukiwa bado basi mtaanza kuona sms za nmb crdb kuanzia saa 4 hadi 5 za asubuhi

Namba ya paymaster general hii hapa. 0788 885 651.
 
Back
Top Bottom