Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,675
- 8,951
Ushapata mshahara? Increment Kuna watu wamepata. Mi ni mwezi NovemberJamani..
Hivi mwaka huu hamna Annual increments..?
Maana ni mwezi wangu huu na sijapata..?
Kesho nimtafute HR kwa kweli
Ushapata mshahara? Increment Kuna watu wamepata. Mi ni mwezi NovemberJamani..
Hivi mwaka huu hamna Annual increments..?
Maana ni mwezi wangu huu na sijapata..?
Kesho nimtafute HR kwa kweli
Ndio yamefanyikaNiko machakani huku nimelala sielewi kabisa, vipi makato tayari?
Tambo gan tena jamnWacha wee!! Mara hii tu ushaanza tambo😎
Kwahiyo ushaanza kupokea na wewe🤔Tambo gan tena jamn
Hata mimi Pia ilikuwq Mwezi uliopita Mkuu ila hakuna na sio mimi tu hii issue nimekutana na wana wengi idara tofauti tiofauti ambao tulitakiwa August Tuwe na Annual incrementJamani..
Hivi mwaka huu hamna Annual increments..?
Maana ni mwezi wangu huu na sijapata..?
Kesho nimtafute HR kwa kweli
Mimi ilitakiwa iwe August sijapata MkuuUshapata mshahara? Increment Kuna watu wamepata. Mi ni mwezi November
SIjaenda hata kuripoti bado😀Kwahiyo ushaanza kupokea na wewe🤔
Ooh pole. HR anasemaje? Watu wamepataMimi ilitakiwa iwe August sijapata Mkuu
Dahh kazi kweli😀SIjaenda hata kuripoti bado😀
Check number umepewa mkuu!?Hivi sisi ajira mpya tutalipwa kweli,?maana tumeripoti tangu tarehe 8 mwezi huu tukaambiwa turudi home kwanza mpaka wao watuwekee pesa,cha ajabu hr ameanza story mara ooh mwezi huu hatujafanya kazi hivyo hana uhakika kama tutalipwa na blah blah zingine.
Sijapewa mkuu,na niko home sijui hata kama imetokaCheck number umepewa mkuu!?
Yes mpigie HR wako muulize kama imetoka ila kwa kwahiyo Tarehe uliyoreport hadi itoke Check Number mmmmh japo unaweza kupata Mkuu wazoefu watakupa MuongozoSijapewa mkuu,na niko home sijui hata kama imetoka
Ngoja kwanza nijisajili kwenye uzi wetu 😀Dahh kazi kweli😀
Walituambia after two to three weeks watatuwekea pesa,sasa sijui ni mshahara au posho...Yes mpigie HR wako muulize kama imetoka ila kwa kwahiyo Tarehe uliyoreport hadi itoke Check Number mmmmh japo unaweza kupata Mkuu wazoefu watakupa Muongozo
ILA MA HR nakuwahi kote huko tarehe 8 bado hapo ataanza kumsingizia APPROVALHivi sisi ajira mpya tutalipwa kweli,?maana tumeripoti tangu tarehe 8 mwezi huu tukaambiwa turudi home kwanza mpaka wao watuwekee pesa,cha ajabu hr ameanza story mara ooh mwezi huu hatujafanya kazi hivyo hana uhakika kama tutalipwa na blah blah zingine.