jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,907
- 15,003
Sisi ni matajiri wa mwisho wa mwezi.Ndio maana niliachaga Kazi nikaamua kujitegemea, huu ujinga WA ajira sio
Sisi ni matajiri wa mwisho wa mwezi.Ndio maana niliachaga Kazi nikaamua kujitegemea, huu ujinga WA ajira sio
Sawa mkuu kila la kheri sisi acha tuendelee kubaki huku as long as tuna pay bill, familia hailali njaa na mambo mengine yanaenda tunaifurahia hii ajiraAjira ni ulofa, huku niliko nafanya consulatancy napata hela kiukweli siwezi kubaki kwenye kuajiriwa
Unafuata nini kwenye huu uzi ?Ndio maana niliachaga Kazi nikaamua kujitegemea, huu ujinga WA ajira sio
That's good for you.Ndio maana niliachaga Kazi nikaamua kujitegemea, huu ujinga WA ajira sio
Mkuu watu wengine ni wapuuzi sana, hao ndo wanaokuja kutuchafulia huu uzi matokeo yake tunaanza kutoka nje ya mada na kutukanana hovyo, kama jambo halimhusu kwanini asipite kule aende zake....Kama uliacha, wewe kwenye Uzi wetu unatafuta Nini..? mbona una mambo ya kinafiki.
Au umekuja kujitangaza na kuturingishia kuwa umeacha kazi na maisha yanakwenda vizuri..
We jamaa kama ni mwanamke utakua umeachika na kama ni mwanaume turudishie korodani zetu unawashwa washwa sana, kama mwisho wa mwezi haukuhusu huu Uzi unaufuatilia niniAjira ni ulofa, huku niliko nafanya consulatancy napata hela kiukweli siwezi kubaki kwenye kuajiriwa
Mkuu ivi ukichukua mshiko fasta unaenda kulipa manually au wanachinja juu kwa juu?Mnateseka wakati Mshiko fasta ipi kwaajili yenu? Chukua mzigo ukiingia unajilipa juu kwa juu……..Siwezi teseka wakati uhakika wa kupata pesa upo
Juu kwa juu then unakopa tena 😂😂😂😂Mkuu ivi ukichukua mshiko fasta unaenda kulipa manually au wanachinja juu kwa juu?
Hii Bongo ukiteseka umejichaguliaJuu kwa juu then unakopa tena 😂😂😂😂
Manually unalipaMkuu ivi ukichukua mshiko fasta unaenda kulipa manually au wanachinja juu kwa juu?
Kama ni hivo basi kuwakwepa ni rahisiManually unalipa
Unalipa Manually kama siku hazijafika ila zikizidi wanachukua wenyewe Mzee BabaManually unalipa
Hii mwisho itageuka addictionJuu kwa juu then unakopa tena 😂😂😂😂
Ivi kuna namna ya kuwaomba wakuondolee hii maana nimechukua sana mwezi huu ila siitaki tenaHii mwisho itageuka addiction
Sijui mkuu, kwani wanakupa hata kama hujaomba?Ivi kuna namna ya kuwaomba wakuondolee hii maana nimechukua sana mwezi huu ila siitaki tena