Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,353
- 4,744
Daah CRDB hapa bado peupe, wife yeye NMB mzigo ushasoma ngoja nimtongoze hapa ili tulie kuku mshahara wake, nishachoka kula tembele
Crdb ndo zao by saa Moja hiviDaah CRDB hapa bado peupe, wife yeye NMB mzigo ushasoma ngoja nimtongoze hapa ili tulie kuku mshahara wake, nishachoka kula tembele
unapata faida gani kudanganya pumbavuCRDB Mzigo umeshasoma wadau,Acha nikashambulie kili 5 za fasta.
MImi niko NMB ila sijapata chochote hadi sekunde hiiMad max atupe ukweli
NMB itasoma tu..sema mpk unapata ww..foleni ATM inaweza kuwa imefika Kigoma ( kama upo mkoani)MImi niko NMB ila sijapata chochote hadi sekunde hii
Jirani ana wifi hizi tarehe uwa anatoa password. Yaani kuna watu wana roho nzuri sana...Daaah jamaa yetu mad max hata mb zimemushia
ukiliwa?Huo mshahara wako ukiingia weka stake mshahara wote yenye odds 3.5 hapo ukitoa kodi utakuwa umelipwa mishahara 3 ndani ya mwezi mmoja 😂😂😂😂
Nisamehe Mkuukwann akutumie hadi sms kwa mshaharavwake binafsi?
App vipi?Kuangalia salio CRDB kwa *150*03# ni usumbufu sana..
odds 3.5 unaanzaje kuliwa.ukiliwa?
benki ganiWakuu next time, uhakika
😀😀😀😀Daah CRDB hapa bado peupe, wife yeye NMB mzigo ushasoma ngoja nimtongoze hapa ili tulie kuku mshahara wake, nishachoka kula tembele