Wazo zuri sana hili isitoshe mkopo wa serikali hauna kashkashiMnalia njaa wakati mnakopesheka millions of money hadi miaka 12. Kama una kiwanja chukua mkopo wa million 25 tu jenga vi apartments 2, (master sebule na open kitchen) kila apartment ina cost 10m. Kama upo kwenye mikoa ambayo ni majiji that means kila mpangaji hapo anakulipa minimum 250k kwa mwezi, kwahio kwa apartments 2 unapata jumla 500k kwa mwezi. Kwa miezi 12 unapata 6m, kwa nyie watumishi wa umma jipangie tu kuchukua kodi ya miezi 2 au 3 nakuambia maisha utainjoi sana wakati wengine wanalia njaa wewe upo bar unaagiza bia na supu na pembeni upo na kitoto cha 2000 kina kunyegesha.
Ambao hamjawahi kujenga hata banda la kuku hamuwez kunielewa
kila mtu mwanae mwanaeHata NBC kuna mwanangu wamewekewa ni teacher kawekewa waaalimu hoyeee
Sema wewe sasa mkuukila mtu mwanae mwanae
unapata faida gani kudanganyaYeah
Endelea kusubiria mshahara, wakati umepanga chumba na sebule kwa mama ntilie au muuza chipsDuh, yani 10M iweze kutosha kujenga appartment mjini hata kama ni room 1 self na kitchen?
Ni kweli watu wamepata. Tuwe wapole.kila mtu mwanae mwanae
Kwanini unadhani anadanganya? NMB wengi washakula mzigo.unapata faida gani kudanganya
KIlimanjaro mnanunuaje huko?? Huku 2.5kCRDB Mzigo umeshasoma wadau,Acha nikashambulie kili 5 za fasta.
Hahaha. Ukimaliza tano nenda home usije sema ngoja nicheue na toti mbili! Sahau kurudi home!CRDB Mzigo umeshasoma wadau,Acha nikashambulie kili 5 za fasta.
Bei hyo hyo ndugu iwe kubwa au ndogo.KIlimanjaro mnanunuaje huko?? Huku 2.5k
Haina noma ndugu,nitazingatia hilo.Hahaha. Ukimaliza tano nenda home usije sema ngoja nicheue na toti mbili! Sahau kurudi home!
Hutu tu lite ndio tumeshuka beiBei hyo hyo ndugu iwe kubwa au ndogo.
Ngoja nikahakiki na hilo pia.Hutu tu lite ndio tumeshuka bei