Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mnalia njaa wakati mnakopesheka millions of money hadi miaka 12. Kama una kiwanja chukua mkopo wa million 25 tu jenga vi apartments 2, (master sebule na open kitchen) kila apartment ina cost 10m. Kama upo kwenye mikoa ambayo ni majiji that means kila mpangaji hapo anakulipa minimum 250k kwa mwezi, kwahio kwa apartments 2 unapata jumla 500k kwa mwezi. Kwa miezi 12 unapata 6m, kwa nyie watumishi wa umma jipangie tu kuchukua kodi ya miezi 2 au 3 nakuambia maisha utainjoi sana wakati wengine wanalia njaa wewe upo bar unaagiza bia na supu na pembeni upo na kitoto cha 2000 kina kunyegesha.
Ambao hamjawahi kujenga hata banda la kuku hamuwez kunielewa
Duh, yani 10M iweze kutosha kujenga appartment mjini hata kama ni room 1 self na kitchen?
 
Back
Top Bottom