Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mnalia njaa wakati mnakopesheka millions of money hadi miaka 12. Kama una kiwanja chukua mkopo wa million 25 tu jenga vi apartments 2, (master sebule na open kitchen) kila apartment ina cost 10m. Kama upo kwenye mikoa ambayo ni majiji that means kila mpangaji hapo anakulipa minimum 250k kwa mwezi, kwahio kwa apartments 2 unapata jumla 500k kwa mwezi. Kwa miezi 12 unapata 6m, kwa nyie watumishi wa umma jipangie tu kuchukua kodi ya miezi 2 au 3 nakuambia maisha utainjoi sana wakati wengine wanalia njaa wewe upo bar unaagiza bia na supu na pembeni upo na kitoto cha 2000 kina kunyegesha.
Ambao hamjawahi kujenga hata banda la kuku hamuwez kunielewa
 
Mnalia njaa wakati mnakopesheka millions of money hadi miaka 12. Kama una kiwanja chukua mkopo jenga vi apartments 2, (master sebule na open kitchen) kila apartment ina cost 10m. Kama upo kwenye mikoa ambayo ni majiji that means kila mpangaji hapo anakulipa minimum 250k kwa mwezi, kwahio kwa apartments 2 unapata jumla 500k kwa mwezi. Kwa miezi 12 unapata 6m, kwa nyie watumishi wa umma jipangie tu kuchukua kodi ya miezi 2 au 3 nakuambia maisha utainjoi sana wakati wengine wanalia njaa wewe upo bar unaagiza bia na supu na pembeni upo na kitoto cha 2000 kina kunyegesha.
Ambao hamjawahi kujenga hata banda la kuku hamuwez kunielewa
PDF business
 
Mnalia njaa wakati mnakopesheka millions of money hadi miaka 12. Kama una kiwanja chukua mkopo wa million 25 tu jenga vi apartments 2, (master sebule na open kitchen) kila apartment ina cost 10m. Kama upo kwenye mikoa ambayo ni majiji that means kila mpangaji hapo anakulipa minimum 250k kwa mwezi, kwahio kwa apartments 2 unapata jumla 500k kwa mwezi. Kwa miezi 12 unapata 6m, kwa nyie watumishi wa umma jipangie tu kuchukua kodi ya miezi 2 au 3 nakuambia maisha utainjoi sana wakati wengine wanalia njaa wewe upo bar unaagiza bia na supu na pembeni upo na kitoto cha 2000 kina kunyegesha.
Ambao hamjawahi kujenga hata banda la kuku hamuwez kunielewa
Good idea, ila kwa 10M utajenga nyumba ya aina gani wewe?
 
Hizi ni hesabu za kitahira.
Million 25 kwa sehemu yenye kodi nzuri unapata kiwanja pekee.
Kwahiyo ukikopa 25-30 ili upate sehemu nzuri hiyo pesa utanunua kiwanja pekee.
Na ukinunua kiwanja cha 1-3 million hapo apartment utapangisha kwa sh. 60 kwa mwezi
 
Kuna code za kuchukua pesa online.
Watu wa jf ni much know, hata ukitaka kuwapa namna wanakuona wewe ni kama mpigaji.
Binafsi sijawahi kuchukua hata cent ya mtu na sihitaji kabisa
 
Back
Top Bottom