Hapana haiwezekan mpaka jumamosi kuanzia saa 4 asubuhiWaweke pesa leo bwana
Jumatatu mbali mkuu jmosi uhakika naamninHapa ni jumatatu
This is murderHapana haiwezekan mpaka jumamosi kuanzia saa 4 asubuhi
Hahaha itakuwa poa sanaHuu uzi usomeke "Mshahara wa Mwezi Huu" badala ya
Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?
NdioSerikali inalipa mshahara hata Weekend?
Hata holidays, tena saa nane usiku.Serikali inalipa mshahara hata Weekend?
AfadhaliNdio
😃sawa mkuuHata holidays, tena saa nane usiku.
😂Huu uzi usomeke "Mshahara wa Mwezi Huu" badala ya
Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?
Wenyewe tunaupenda hivi hivi.Huu uzi usomeke "Mshahara wa Mwezi Huu" badala ya
Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?
😁😁 Kakope tu kwa Muha hakuna namnaKila kitu kimeisha, hadi chumvi..
HollaNilikuwa nimelala nimeshtuka baada ya kuona notifications, vipi benki gani tayari nikaumwage huu uji wa chumvi.
SahihiHuu uzi usomeke "Mshahara wa Mwezi Huu" badala ya
Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?
Nalinda brand ndugu.. Kitaa wananionaga smart sana😁😁 Kakope tu kwa Muha hakuna namna
Hamna kituNilikuwa nimelala nimeshtuka baada ya kuona notifications, vipi benki gani tayari nikaumwage huu uji wa chumvi.
Leo duuuu!Tulia kijana