Hamna lazim tuache ndala😄😉😄kesho uhakika
Ikawe kheri aisee maana hapa nimefura kwa hasira na njaa, nataman mtu anichokoze tufikishane polisi anilipe, maana hali ishakuwa sio.kesho uhakika
WAkikutag nitagKuna mtu anaufahamu ule uzi ambao ukimtukana mtu unalipwa? Naomba anitag tafadhali.
Jumatatu mbali mkuu jmosi uhakikaHapa ni jumatatu
Hongera mkuu unataka kuhamia au umepata sehem zote 2Wakuu samahani wapi patamu kati ya Wizarani Ardhi na Tume ya taifa ya mipango ya matumizi ya ardhi (NLUPC)
Ni jamaa yangu anataka kuhamia mojawapo kati ya hizoHongera mkuu unataka kuhamia au umepata sehem zote 2
Wizara scale ya salary n sawa na maafisa ardhi wa tamisemi tofauti ni posho nenda NLUPCWakuu samahani wapi patamu kati ya Wizarani Ardhi na Tume ya taifa ya mipango ya matumizi ya ardhi (NLUPC)
Thread haiko relevantWenyewe tunaupenda hivi hivi.
Mara chache tunapata hata weekend nushapata Jumamosu mara nyingi na Jumapili mara mojaSerikali inalipa mshahara hata Weekend?
Kumbe tutegemee chochote hata WeekendMara chache tunapata hata weekend nushapata Jumamosu mara nyingi na Jumapili mara moja
Unakufa na tai shingoni sio 😁😁Nalinda brand ndugu.. Kitaa wananionaga smart sana
Yes, mara kibao tu mi mzigo ulishaingia J' mosi au hata J' piliSerikali inalipa mshahara hata Weekend?
Ngoja watujibuVip makato yashapitishwa??
Nenda mkuu kaangalie hata furniture tuDay 3 sijaenda job