Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mwezi huu Ngoma itachelewa! Utaambiwa mifumo haijafinguka si mnajua ni mwaka mpya
Uongo.
Mifumo haijafunguka au haijafunguliwa?
Kama inafunguliwa na mtu huyo mtu HAJUI kuwa kuna mishahara?
Taasisi nyingi ndio hawajafungua/ funguliwa. Ila Serikali yenyewe haifungi mfumo wake hata kwa sekunde tatu.
 
Sawa tunasubiri, ofisini kwetu posho ya nauli ya tarehe 15 hatujalipwa eti mfumo haujafunguka
 
Uongo.
Mifumo haijafunguka au haijafunguliwa?
Kama inafunguliwa na mtu huyo mtu HAJUI kuwa kuna mishahara?
Taasisi nyingi ndio hawajafungua/ funguliwa. Ila Serikali yenyewe haifungi mfumo wake hata kwa sekunde tatu.
Kwa taasi zinazosuburia bajeti , kama zote hajapewa fungu kutoka hazina..Mpaka mwezi wa nane mwanzoni au katika , seriklini hakun pesa kwa sababu ya zile vurugu ;wahisani wamekimbia
 
Kwa taasi zinazosuburia bajeti , kama zote hajapewa fungu kutoka hazina..Mpaka mwezi wa nane mwanzoni au katika , seriklini hakun pesa kwa sababu ya zile vurugu ;wahisani wamekimbia
Mnadanganyana sana .
Ofisi yetu imeongeza mshahara kama sh. 400k na posho imeongezeka kama 300k.
Kama kungekuwa hakuna pesa unadhani serikali ingekubali kupitisha bajeti kama hii.
Pesa zipo, Tanzania ya sasa si ile mnayoidhani. Rais Samia kaboresha uchumi wa Tanzania mara dufu sema tu hakuna propaganda kama zile za bwana Jiwe
 
Nineanzisha utaratibu wa kwenda kazini na kurudi kwa Miguu/kutembea natumia dakika 30 hadi 40 kufika sasa nitaendelea na hili zoezi hadi mwishoni mwa wiki hii nijue kama niendelee na huu utaratibu au nisitishe
Hali ya hewa kama sio ya joto mbona fresh tu!
 
Back
Top Bottom