BdoKwan makato yashafanyika ESS?
T@y@r?Kila mtu acheki simu yake sahii naenda kubonyeza button ya kuruhusu mialama/misahara yenu😂
Mwezi jana tulipata kabla ya makatoHuu mwezi umenikamata nyeti aisee makato bado hukoo
Na iwe hivyo japo tarehe 21 ni ngumuMwezi jana tulipata kabla ya makato
Ulikua wap muda wote wwKila mtu acheki simu yake sahii naenda kubonyeza button ya kuruhusu mialama/misahara yenu😂
HakunaKuna mtu pesa imeingia wakuu?
Ngoma wiki ijayo hii... trust me
Hakuna mzee, Leo ijumaa uhakika hatufiki usikuKuna mtu pesa imeingia wakuu?
Si tarehe bado mzee, Huwa ni 22/23Hawa wapuuzi kwani wakiweka hela zetu wanapata hasara gani!
Makato badoSi tarehe bado mzee, Huwa ni 22/23
Wapi huko mnawekewa hela?Hawa wapuuzi kwani wakiweka hela zetu wanapata hasara gani!