Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 863
- 914
Sisi jeshi la mgambo tulipokea juz asubuh saa 4 na dakika 34 na sekunde 34Majeshi wamepokea tyr? Kama wale bado nyie tulieni.. mie nahisi mzigo ni J3/J4
Sisi jeshi la mgambo tulipokea juz asubuh saa 4 na dakika 34 na sekunde 34Majeshi wamepokea tyr? Kama wale bado nyie tulieni.. mie nahisi mzigo ni J3/J4
Ndani ya 24hrs wanatoaMajeshi wamepokea tyr? Kama wale bado nyie tulieni.. mie nahisi mzigo ni J3/J4
Unamtukana mamba na wakati bado hujavuka mto?Hawa wapuuzi kwani wakiweka hela zetu wanapata hasara gani!
Tayar subir hela mkuu😁Makato bado
Oya ni kweli???mimi sina check no ila kuna jamaa nataka nimkope kibundaTayar subir hela mkuu😁
Life la ki komunist braza.. 😂😂Ila haka kauzi huwa kananifurahisha sana. Tarehe zikikaribia, utashangaa kanaibuka kutoka kusikojulikana. Wana wote wakipokea mpunga wao, kanapotea tena. 🤓
Watakuambia kuishi mara moja.Ila haka kauzi huwa kananifurahisha sana. Tarehe zikikaribia, utashangaa kanaibuka kutoka kusikojulikana. Wana wote wakipokea mpunga wao, kanapotea tena. 🤓
Hapo mpk jioni probablyInaelekea sasa 6 mchana, kuna dalili yoyote huko?
Kaka bado per dm , extra duty zipo kaka .. hyo mikopo pelekea wawekezaji huko.nakopesha 100000 utanilipa 130000 mama akicheka..karibuni sana
Asa tunarudije nyumbaniHapo mpk jioni probably
Mkuu unasema leo jioni pesa inaingianakopesha 100000 utanilipa 130000 mama akicheka..karibuni sana
Wanawekewa hawa mi nasubr wife awekew afu kesho aanze niomba matumizi yakeOya bado hamajawekewa?? Dah sasa ntamkopa nani wazee wekeweni pesa basi tukakope... Ujue hii mishahara yenu inatubeba mpk ambao hatuna Check number