Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,172
- 12,229
Ngojea 12 jioni maana makato yameshapita.Hadi sasa bado bila bila.
Ngojea 12 jioni maana makato yameshapita.Hadi sasa bado bila bila.
Dah mbali sana nimewahidi nyama homeNgojea 12 jioni maana makato yameshapita.
Watoe tu kwakweliHadi sasa bado bila bila.
Mwambie atenge maharage mkuu.Dah mbali sana nimewahidi nyama home
Hamna kitu nipo zangu kijiwe na castle lite kazini nimetoka saa sita
Habari ndo hiyo hapa nipo ya nne. Mpaka nifike lite 12 mambo tayari nalipa nasepa.Sms itakukutia kijiwen mkuu
We agiza tu.
Naelekea kwa Shayo nipoe na niangalie Game ya Yanga hukohuko Home nimewaambia Mboga nitatuma waachane na mboga za majani leo mkuu hapa nimeshaagiza Castle lite za Baridii mkuuSms itakukutia kijiwen mkuu
We agiza tu.
Safi sana mkuuNaelekea kwa Shayo nipoe na niangalie Game ya Yanga hukohuko Home nimewaambia Mboga nitatuma waachane na mboga za majani leo mkuu hapa nimeshaagiza Castle lite za Baridii mkuu
Waambie wapike kabichi tuDah mbali sana nimewahidi nyama home
Ndani ya nusu saaa mzigo unatokaWakuu bado tu
Dah hata sielewi elewi mimi nimeshakaa kwenye kiti kirefu bia mbili mezani nikitarajia muda wowote ngoma inajibu. sasa usipoingia jioni hii ntaacha shati na viatu hapa dahWakuu bado tu
Watakudekisha vyoo mkuu usijali.Dah hata sielewi elewi mimi nimeshakaa kwenye kiti kirefu bia mbili mezani nikitarajia muda wowote ngoma inajibu. sasa usipoingia jioni hii ntaacha shati na viatu hapa dah
Mzee me nasubiri walipe nipite sheli nirudi homeDah hata sielewi elewi mimi nimeshakaa kwenye kiti kirefu bia mbili mezani nikitarajia muda wowote ngoma inajibu. sasa usipoingia jioni hii ntaacha shati na viatu hapa dah
🤣 😀🤣Dah hata sielewi elewi mimi nimeshakaa kwenye kiti kirefu bia mbili mezani nikitarajia muda wowote ngoma inajibu. sasa usipoingia jioni hii ntaacha shati na viatu hapa dah
Ni simu utaachaDah hata sielewi elewi mimi nimeshakaa kwenye kiti kirefu bia mbili mezani nikitarajia muda wowote ngoma inajibu. sasa usipoingia jioni hii ntaacha shati na viatu hapa dah