BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,411
- 13,051
Mkuu hukwenda kazini?Da
Kaka meseji imeingia asahivi. Ngoja nitoke na nje sasa
Mkuu hukwenda kazini?Da
Kaka meseji imeingia asahivi. Ngoja nitoke na nje sasa
Ukimbie uende wap shindii, tulia hapo hapo mpaka kieleweke
Nakimbia, kikieleweka nitarudi.Ukimbie uende wap shindii, tulia hapo hapo mpaka kieleweke
Unaenda wapi shindiNakimbia, kikieleweka nitarudi.
🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nyumbani.Unaenda wapi shindi
Hahaha halafu nimekukumbuka sasa hivi na ukanijibu shindii🤣🤣🤣Nyumbani.
Hebu sema ulikuwa unawaza nini?Hahaha halafu nimekukumbuka sasa hivi na ukanijibu shindii🤣🤣🤣
Mabohora ya kwa mashirimaHebu sema ulikuwa unawaza nini?
Si ulisema umejiupgrade wewe!!!Mabohora ya kwa mashirima
Nimeyamis shindiiSi ulisema umejiupgrade wewe!!!
na wewe utaendelea kuuza nyapu utake usitakeahahaha 😂 😂 😂
mbona jazba ndugu yangu!!
Nyie wapumbavu nawaonya, hamtafanikiwa kwa lolote.
Samia atazidi kung'ara mtake msitake
kwahiyo?Kutegemea Mshahara 100% ni umasikini.
kwahiyo?
Tuache kazi au tufanye kazi lakini mshahara tuukatae?
Hata kama mtumishi ana biashara 4 kubwa mshahara ataendelea kuukodolea macho mpaka siku anaacha kazi au anastaafu
hiyo imekaa njemaHaujanielewa mkuu....Yaani usiwazie mshahara wewe piga kazi tu tena ikiwezekana uwe unasubiria meseji tu kwenye simu na si kuanza kuulizia mbona umechelewa.
Katika maisha nilichojifunza usitegemee chanzo kimoja cha kipato ,hata kama una biashara ya Duka basi jitahidi uwe na Genge ,kama una biashara ya kuku basi jitahidi uwe na biashara ya matunda /mboga mboga.
Nakubaliana nawewe 200% binafsi Mwaka wapili ila aina hii ya Maisha naona yananishinda kabisa Wakuu yaan siku 365+ nalipwa mara 12 tu tena kiasi kina koma moja tu ni hudhuni sanaKutegemea Mshahara 100% ni umasikini.
Pole sana mkuu ,jitahidi upate fedha pembeni tofauti na mshahara hapo utaenjoy kazi.Nakubaliana nawewe 200% binafsi Mwaka wapili ila aina hii ya Maisha naona yananishinda kabisa Wakuu yaan siku 365+ nalipwa mara 12 tu tena kiasi kina koma moja tu ni hudhuni sana