Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,721
- 9,066
Pole mkuu Mimi crdb asubuhi nimekuta mzigoMambo gani aya wanafanya hawa matajiri. Wekeni pesa asubuhi bado mapema niende kazini.
Pole mkuu Mimi crdb asubuhi nimekuta mzigoMambo gani aya wanafanya hawa matajiri. Wekeni pesa asubuhi bado mapema niende kazini.
Hadi wewe Mkuu. 😅Wakubwa vipi huko
Tunataka kwanza muwekeze nguvu na akili zenu kwenye kusubiria ripoti ya Jaji Chande. Akimaliza kuisoma, tutawekea mzigo mara moja kwenye akaunti zenu.Wakubwa vipi huko
Mwanangu atakufa na njaa😁😄Hadi wewe Mkuu. 😅
Dah! ni balaaTunataka kwanza muwekeze nguvu na akili zenu kwenye kusubiria ripoti ya Jaji Chande. Akimaliza kuisoma, tutawekea mzigo mara moja kwenye akaunti zenu.
Hahahaaa. Nimeona wanasema tangia asubuhi huenda na kwako tayari.Mwanangu atakufa na njaa😁😄
Na mimi nimesikia ivo. Ila account yangu bado.Wengine wameanza kupokea jana usiku, leo zoezi litaendelea kwa tuliobaki ngoja waamke
Hafu kuna posho tar 1 ya Mei MosiNMB kwangu tayari muda huu, tukutane Mei
Jana imethibitika kuwa pesa inaweza kuingia kabla ya makato kusoma.Never
Afu wewe unaweza mpigia simu Samueeeer akupe maelekezo Mkuu
Yaani na mimi ndo nilikuwa nashangaa maana na mimi muda huu saa 1237 naona tayari makato.Kwa mara ya kwanza Salary imeingiq Makato Bado wakuu, NMB saa1 hivi mchuzi ndani ya Account
Ndrrriiioooo ndrrriooooo rafiki. 😃
Kabeeeeeeeeeeeeeeeesa rafikiiiii.Ndrrriiioooo ndrrriooooo rafiki. 😃
Oya ata mimi? Wanaosema wameona mshahara siwaelewiKwangu bado nyau nyauuuu
Mkuu wewe bado?Oya ata mimi? Wanaosema wameona mshahara siwaelewi
Bado man. Au PEPMISS maana nimeleta ujeuri kama miezi miwili iviMkuu wewe bado?
Wengine CRDB toka jana mzigo uliingia.
Mkuu wewe bado?
Wengine CRDB toka jana mzigo uliingia.
Kaka meseji imeingia asahivi. Ngoja nitoke na nje sasaMkuu wewe bado?
Wengine CRDB toka jana mzigo uliingia.