The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,450
- 14,809
Watumishi HI. ....
Jamani, hivi mishahara yenu ipoje siku hizi?Kudadadeq,, just imagine mshahara wa mwisho ulitoka tarehe 20, mwezi huu hadi 22 Bado hola hata makato hayajapita,, tutajua hatujui
Hao ni wale walio kopa bank mkuu ama mwenye deni loan board.ukiingia ESS unaona yale makato yamesha fanyika hata kabla ya salary kuingia.Jamani, hivi mishahara yenu ipoje siku hizi?
Nimeona term 'makato' limetumiwa sana na wadau huko juu.
Nimejiuliza nimeshindwa kupata majibu.
Sisi zamani makato hayo yalifanywa na mwajiri huko huko, huku kinachokuja ni cash tu.
Iweje ujadili makato kwenye kupokea mshahara?
Nimeelewa vizuri sasa.Hao ni wale walio kopa bank mkuu ama mwenye deni loan board.ukiingia ESS unaona yale makato yamesha fanyika hata kabla ya salary kuingia.
Mad max furiosaaPesa inatakiwa iingie leo. Kesho sitaonekana kazini.
Hali mbaya mzeeMad max furiosaa
Mzee fungua hata genge la nyanya,,lipooze njaa tarehe kama hiziHali mbaya mzee
Woyoo ngoja nikadai madeni yangu sasaNmb tayari
Dawa ya deni ......we jamaa wewe mungu anakuona
Hujawahi kuongopa mkuu. Ni kweli?Nmb tayari muda huu saa 1920. Tuonane mwezi wa tano
Hujawahi kuongopa mkuu. Ni kweli?