Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,179
- 12,239
Watakata lini tena ,maana watu wameshakatwa walipopokea ila system inaonesha bado.Kwa mara ya kwanza Salary imeingiq Makato Bado wakuu, NMB saa1 hivi mchuzi ndani ya Account
Watakata lini tena ,maana watu wameshakatwa walipopokea ila system inaonesha bado.Kwa mara ya kwanza Salary imeingiq Makato Bado wakuu, NMB saa1 hivi mchuzi ndani ya Account
😀😀😀 Mkeka ukichanikamkuu nikopeshe buku nibetie barcelona na sturm gaz, sulbuz win ods 30 nakulipa buku yako kesho
Kwa mara ya kwanza Salary imeingiq Makato Bado wakuu, NMB saa1 hivi mchuzi ndani ya Account
Ila wamekatwa mkuu?NIona magroup mengi wanasema hivyo.. Mshahara umeingia ila makato hayajapita kwa wale wenye madeni/mikopo
So kibunda kimeingia kama kilivyo?NIona magroup mengi wanasema hivyo.. Mshahara umeingia ila makato hayajapita kwa wale wenye madeni/mikopo
Hamna kitu kama ikoSo kibunda kimeingia kama kilivyo?
Crdb tayari kakaSema nareport kutoka Dar es Salaam, CRDB, Taasisi za Wizarani, bado bila bila. Sahivi saa 23:18 sija give up!
Leo usiku watakukumbukaView attachment 3577620
Tuseme wamenisahau
Na iwe ivo mkuuLeo usiku watakukumbuka
No mpunga unapata ule unaostahili ila system inaonesha makato badoSo kibunda kimeingia kama kilivyo?
Kwanini huendi kazini Mkuu?Pesa inatakiwa iingie leo. Kesho sitaonekana kazini.
Mkuu umenichekesha sana, jamani 😄, umeshinda sana huku Hadi usiku wa mananeIla kesho saa 12 kama pesa haijaingia sitaenda kazini,
Kumbuka kuna taasisi, siku ya salary huwa ni siku ya mapumziko.Kwanini huendi kazini Mkuu?
Duh ,sikujua hata, mi nahisi jamaa anasema haendi Kwa kukosa nauli na pesa ya kulaKumbuka kuna taasisi, siku ya salary huwa ni siku ya mapumziko.
Usiku wote huu we Mzee hujalala ?Kumbuka kuna taasisi, siku ya salary huwa ni siku ya mapumziko.
Ikifika saa 10 alfajiri kila siku usingizi hunikimbia.Usiku wote huu we Mzee hujalala ?