Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,342
- 103,709
Ijumaa tena?Hii Ngoma kesho kama sio ijumaa
Ijumaa tena?Hii Ngoma kesho kama sio ijumaa
Oya kweli?Naona tayari
Hata Makato bado mkuu.Oya kweli?
Nungaiyembe chawa nae anasubiri tarehe qmamae hali sio hali na bado itafika pahaka utatoa vyote mpaka 0713 ndio utajua uchawa hauna maana.tarehe zetu hizi
ahahaha 😂 😂 😂Nungaiyembe chawa nae anasubiri tarehe qmamae hali sio hali na bado itafika pahaka utatoa vyote mpaka 0713 ndio utajua uchawa hauna maana.
Hawaeleweki mpaka saivi makato badoIjumaa tena?
Ngoja ijumaa kama kesho basi usiku sanHawaeleweki mpaka saivi makato bado
Sitaweza kufika IjumaaNgoja ijumaa kama kesho basi usiku san
Mtu anayekutamisha mshahara huyo hana akili timamu 🤪🤪Mazee mishahara haikutani mzeya😃
Ni kosa kisheria mishahara kukutana.
Utakufa njaa we kibaka wa Samia,Hivi mzigo unaweza kusoma kwenye account kabla makato ya mwezi kutoonekana ESS?
Yeah huyo kaja dunia kushangaa.Mtu anayekutamisha mshahara huyo hana akili timamu 🤪🤪
BAYPORT TAYARI
walowezi wenzako wa SA wanadundwa kama ngoma huko.Utakufa njaa we kibaka wa Samia,
Njoo hapa US, hela ya mtunza mbwa US $600=1.5m ndo mshahara wa Doctor Bongo
Hivi mzigo unaweza kusoma kwenye account kabla makato ya mwezi kutoonekana ESS?
NeverHivi mzigo unaweza kusoma kwenye account kabla makato ya mwezi kutoonekana ESS?