Wamekata makato yao kwenye mfumo?Tayari vitu vinasoma huko.
Huu uzi utadumu sana, updates zipo humuUzi pendwa
Vipi Mwezi umeonekania wapiSoma hiyo!
Bado 0 -0Vipi Mwezi umeonekania wapi
Jana usiku wameanza kuweka, leo nadhani wataendelea.Wamekata makato yao kwenye mfumo?
Hii Ngoma kesho kama sio ijumaaJana usiku wameanza kuweka, leo nadhani wataendelea.
Naona tayariJana usiku wameanza kuweka, leo nadhani wataendelea.
Tayar makato au posho kabisa mkuuNaona tayari
nimecheki makato dk 3 zilizopita bado.Tayar makato au posho kabisa mkuu
ukitoka tu takuambiaOya toeni majibu yalionyooka kuna mtu namdai aliniambia anasubiria mshahara.
Nakukubali mkuuukitoka tu takuambia
Unamkubali huyu mtu ambaye kuzimu hadi mbinguni amekataliwaNakukubali mkuu
Ulijuaje mambo ya kuzimu na mbinguni?..umeshafika?Unamkubali huyu mtu ambaye kuzimu hadi mbinguni amekataliwa