Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mm nilikuwa natoa dukuduku langu maana mshahara toka tarehe 20 mwezi uliopita huohuo idi umeenda mpaka tarehe 31 ukatoka hapo huohuo umevuka pasaka hadi leo. Jamaa katoka huko kaanza kunishambulia
Sorry bro, Kuna watu wanatabia ya kutunanga tunaosubiri mwisho wa mwezi humu jukwaani, nikajua ndo walewale, nisamehe nimefuta na comment
 
Back
Top Bottom