Kama mshahara wako kama haufiki 5m bado sana kutoboa.
5m kwenye baadhi ya mashirika ni ya senior officer wa kawaida tu,Wakurugenzi wa wapi? Wakurugenzi wa mashirika ya umma wanpata more than 8+m,5M mshahara, kwani kila mtu ni Mkutugenzi 😀
We unapata ngap?5m kwenye baadhi ya mashirika ni ya senior officer wa kawaida tu,Wakurugenzi wa wapi? Wakurugenzi wa mashirika ya umma wanpata more than 8+m,
Mimi ni land consultant sina mshahara, nalipwa service feeWe unapata ngap?
Lakini mara nyingi upo kwenye huu uzi mkuu,tar kama hizi.Mimi ni land consultant sina mshahara, nalipwa service fee
KwaniniTunaenda kuwa na April moja DUME sana WAKUu
Annual Increment ipo na kila mtu anapata Baada ya Mwaka mmoja kama uliajiriwa Mwezi January huwa February ndio increment inakuwepo kwa kila MwakaHivi haya madarajara/increment walizodai kila mtumishi atakua anapata mwezi alioajiriwa mbona sioni chochote au ni mimi... hii serikali ina useng sana