Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,714
- 49,746
Haikuhusu.Hivi mnavyoulizia,huwa mmefulia hamna akiba kabisa?
Tuwe na akina, tuwe na biashara au kampuni tutaulizia mshahara mpaka tutakapoamua kukaa nje ya kazi.
Kama tuko nje ya kazi hatutakuwa na sababu za kufuatilia mshahara.