Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hii ni wekeza fund mkuu, ni zuri sana, faida inaonekana vizuri,

Kufungua account unaanza na 10000, baada ya hapo utakuwa unaweka hela kuazia 5000 hadi 5,000,000 kulingana na Kipato chako.


1. Kwa watumishi wa serikali, unaweza kujiunga kupitia ess.

2. Kwa wasio watumishi, unaweza kujiunga directly kupitia whi.go.tz

Link 👇👇

HAKIKA NAIPA FIVE STAR 🌟 🌟 🌟 🌟 🌟

MasterP.
So, unatoa pesa muda wowote ukitaka kama kwenye ATM?
 
Mimi ni ajira mpya niliambiwa nikae nyumbani hadi nitakapolipwa mshahara ndiyo niende Ofisini. Naomba Kufahamu; Kati ya NMB na CRDB ni akaunti gani inawahi kupokea mshahara?
 
Asilmia kubwa wa mkopo hasa mkopo wa elimu ya juu(HESLB)
 
Back
Top Bottom