Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hapana kaka😄😁😁😁
56847.jpg

Leo nimefuria nimeamua niingie kwenye kibubu changu, nimetoa jiwe 5,

Salary itanikuta siku za katikati huko 😂😂.
 
Nini hiki mkuu
Hii ni wekeza fund mkuu, ni zuri sana, faida inaonekana vizuri,

Kufungua account unaanza na 10000, baada ya hapo utakuwa unaweka hela kuazia 5000 hadi 5,000,000 kulingana na Kipato chako.

1. Kwa watumishi wa serikali, unaweza kujiunga kupitia ess.

2. Kwa wasio watumishi, unaweza kujiunga directly kupitia whi.go.tz

Link 👇👇

HAKIKA NAIPA FIVE STAR 🌟 🌟 🌟 🌟 🌟

MasterP.
 
Naomba kufahamu nikijiunga hela naweza kuipata muda wowote kwa mtumishi wa serikali
 
Back
Top Bottom