Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,714
- 49,746
poaBado
poaBado
Tayar???Uzi pendwa kuanzia kila tarehe 21 ya Mwezi.
Bado...hii kesho mapema sanaTayar???
Bado...hii kesho
Kwan inatokaga asubh au hadi jioni hyo
Hii ngoma itakuwa keshoTayar???
Duh..hongeraMimi kitu ilisoma ijumaa saa 10 shapu.
Mara chache sana nishapata mpunga Jumapili ial kwakuwa makato toka jana basi kesho mapema sanaBOT hifanyi lazi Je,mshahara mpaka kesho.
Ghafla inafika jioni 0-0😅Mara chache sana nishapata mpunga Jumapili ial kwakuwa makato toka jana basi kesho mapema sana
Nyumban unatoka maagizo kabichi wapeww Bata nktakuja na Mboga
Umeshapata?Kaeni kwy ATM tayari
Daah! Hii kali Mkuu.Kaeni kwy ATM tayari
Acha kuleta Taharuki. Mshahara wa Serikali ni KeshoDaah! Hii kali Mkuu.