Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wakuu, habari za asubuhi, naomba kuwekwa sawa, watumishi wa kada ya ualimu walioajiriwa January 2011 kwa sasa wanapaswa kuwa daraja gani? Natanguliza shukrani zangu kwenu. ( Wale wenye shahada).
MAGU aliharibu mchakato hapo kati so kujikuta uepanda madaraja mawili ni kawaida mkuu
 
Back
Top Bottom