mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 3,701
- 5,313
Makato huwa ni baada ya 24hrs mara nyingiUk
UKiona makato yamepita ujue ni leo leo
Makato huwa ni baada ya 24hrs mara nyingiUk
UKiona makato yamepita ujue ni leo leo
Sawa mkuuMakato huwa ni baada ya 24hrs mara nyingi
Watu mnafuatilia balaaMakato huwa ni baada ya 24hrs mara nyingi
Umefika mkuu...tuendelee kusubiri tuNakopesha bila riba.
Mkuu kafundishe najua una kipindi mda huu, hatimaye tumeamia uzi wa mshahara toka uzi wa placement uko poa....Umefika mkuu...tuendelee kusubiri tu
Jpili hii mkuu....heheheeeMkuu kafundishe najua una kipindi mda huu, hatimaye tumeamia uzi wa mshahara toka uzi wa placement uko poa....
Baadae tutaenda uzi wa wastaafu hahaMkuu kafundishe najua una kipindi mda huu, hatimaye tumeamia uzi wa mshahara toka uzi wa placement uko poa....
Hehehee uko tutakuwa tunaulizia pension na mikopo kwa wastaafuBaadae tutaenda uzi wa wastaafu haha
Wanakaaje kwa Amani itisha test ya ghafla hahaha 😆 😂 chuo chao kwani...Jpili hii mkuu....heheheee
Mwendo wa kuama tu hahaha 😆 😂Baadae tutaenda uzi wa wastaafu haha
Hehehehe au niwatumie assignment wateseke nayo....wasikae kwa aman wakati sijapata helaWanakaaje kwa Amani itisha test ya ghafla hahaha 😆 😂 chuo chao kwani...
Hilo muhimu hahaha 😆 😂 mapambano yaendelee mzeeHehehehe au niwatumie assignment wateseke nayo....wasikae kwa aman wakati sijapata hela
Hehehehe hawa madogo wa 'standardized results' shida sana....Hilo muhimu hahaha 😆 😂 mapambano yaendelee mzee
oya tayari?Uzi umetulia au umeshafungwa tukutane mwezi ujao
Dahh, sasa hivi nimekuwa mvivu sana, kuandika thread mkuu..... 😒😒😒.Raha ya JF ndo hii kupeana maarifa.
Ungeifungulia uzi wake kabisa hii mkuu tuidadavue vixuri.
Badooya tayari?