Wanaofanya hivyo ni maaskari wajinga wajinga. Binafsi sina historia ya kukopa kukopa. Labda mkopo ninaodaiwa na Jamhuri ambao nimeshaanza kuulipa.mtakuja mje, tena nyinyi mnakop mpka pombe 😀😀😀
Wanaofanya hivyo ni maaskari wajinga wajinga. Binafsi sina historia ya kukopa kukopa. Labda mkopo ninaodaiwa na Jamhuri ambao nimeshaanza kuulipa.mtakuja mje, tena nyinyi mnakop mpka pombe 😀😀😀
Hahaha! Jack Daniels itapendeza!Woyoo tena kuna mvinyo mpya kama jina lako😀
Kama ulikuwepo Chief salary imeingia saa4 leo asubuhinilishawai fanya huu ujinga, nikaishia kusongesha 😀😀😀
Dahh mkuu upo, 🤔🤔??Maboss mliopata mishahara, weekend tunakutana wapi? maana January imekua na siku 60 hii😅
Nakubaliana nawe 💯 % mkuu.Hakuna umasikini na laana mbaya kwenye maisha kama kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ni utumwa wa kisasa ambao ukichelewa kuustukia unakuwa katika hali mbaya sana baadae.
Payroll zisha signiwamkuu time bado bhana
Mpk tarehe ngapimkuu time bado bhana
CRDB tayariMpk tarehe ngapi