mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 3,700
- 5,310
Kuna Mwanangu Ticha ameniamjia NMB tayari pia sijui ananipangaWanazingua sana.. na unakuta ni wanaume wazima wanafamilia
Kuna Mwanangu Ticha ameniamjia NMB tayari pia sijui ananipangaWanazingua sana.. na unakuta ni wanaume wazima wanafamilia
Mimi pia crdb tayar kaka.Kuna Mwanangu Ticha ameniamjia NMB tayari pia sijui ananipanga
Nisogee kwa shayo Bulooangu aweke Kavu nusu Ugali na safari mbili za Baridi najua muamala utanikuta hukohuko home nimewaambia waachane na maharage leo mboga nitawatumiaMimi pia crdb tayar kaka.
Hizi ni dharau mkuu wangu heshimu Professional za watu sio wote tunaweza kuwa TPDC au TANROAD au WabungeIla walimu siyo kazi ya kufanya kabisa Bora uwe unabaeti tu, Yani salary mpaka trh 25 au 26
Nisogee kwa shayo Bulooangu aweke Kavu nusu Ugali na safari mbili za Baridi najua muamala utanikuta hukohuko home nimewaambia waachane na maharage leo mboga nitawatumia
Crdb hapa badoMimi pia crdb tayar kaka.
Kitambaa cheupe sinzaMaboss mliopata mishahara, weekend tunakutana wapi? maana January imekua na siku 60 hii😅
Hatukopeshi pesa zetu kwa raia.Sasa ngoja tukawakope 😀
Woyoo tena kuna mvinyo mpya kama jina lako😀Kitambaa cheupe sinza
Njoo tuonane Weekend Talatala Lounge Dodoma, nitalala hapo nikitokea Arusha kwenye majukumu ya kikanda.Maboss mliopata mishahara, weekend tunakutana wapi? maana January imekua na siku 60 hii😅
ahsante mkuu🤝Njoo tuonane Weekend Talatala Lounge Dodoma, nitalala hapo nikitokea Arusha kwenye majukumu ya kikanda.
Nitumie details zako nikufanyie reservations chap.ahsante mkuu🤝
Ahsante kwa mwaliko mkuu, nipo Mbali Sumbawanga hukuNitumie details zako nikufanyie reservations chap.
Halafu kuna mdau wangu anataka kununua kichwa cha Scania, natumaini utamsaidia.
Sumbawanga na Dodoma mbona karibu sana mkuu.Ahsante kwa mwaliko mkuu, nipo Mbali Sumbawanga huku
Hatukopeshi pesa zetu kwa raia.
Nendeni mkakope kwenye Microfinance au Vicoba
Muda si mrefu nita subscribe kwenye huu uzi